K komagi Member Joined Nov 1, 2010 Posts 62 Reaction score 2 Nov 2, 2010 #1 hii haijakaa njema ccm inatangazaa kukubali matokeo waliposhinda wao kiulaini lakini hali inapokuwa ngumu wao ndo wa kwanza kkuweka ngumu,,,,,,,,,,,,hii haijatulia
hii haijakaa njema ccm inatangazaa kukubali matokeo waliposhinda wao kiulaini lakini hali inapokuwa ngumu wao ndo wa kwanza kkuweka ngumu,,,,,,,,,,,,hii haijatulia
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Nov 2, 2010 #2 Bse wana hati miliki ya kuongoza Tz for 100 years