Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Wababa hawataki majukumuHabarini wanajamii
Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii?
-Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa kuingia kwenye ndoa?
-Au kubeba mimba bahati mbaya
Tatizo ni nini hasa?
Huko mtaani kila kona ukipita unaitwa anko ankoo, mabinti wamezalishwa halafu wametelekezwa.
Huu ndio mzizi wa tatizo watu hawataki kusemaManamake ya siku hz upuuz mtupu, li mtu unalipanga vizur unaliweka ndan, likishakua lenyej tu, linaota mapembe, dharau kama zote, majibu sasa usiombe! hamna rangi utakayokosa kuiona! Shenz kabsa, acha watelekezwe tu
Katika hilo maoni yako ni yapi lo?