Kwanini Wizara ya Elimu haiteui Wakuu wa Vyuo Vijana?

Kwanini Wizara ya Elimu haiteui Wakuu wa Vyuo Vijana?

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Ni muda mrefu sasa Wizara ya Elimu imekuwa ikiteua wakuu wa Vyuo ambao ni Wazee na wengine walishastaafu. Je kupeana ulaji au hakuna wengine wanaoweza kuongoza? Anapoteuliwa Mkuu wa Chuo ambaye alishastaafu ataendeleza Chuo au kutafuta fedha ya kula Uzeeni. Umefika wakati sasa Waziri wa Elimu afikirie uteuzi wa Vijana na Walio katika ajira katika uteuzi wa Wakuu wa Vyuo mbalimbali Nchini. Ni wazo langu, wadau mnaseje?
 
unazungumzia vyuo gani? vyuo vikuu? au vyuo vya ualimu. Kuwa wasi mangi
 
Hao wakuu wa vyuo unawaongelea ni symbollic leader tu ,
Ma VC ndo watendaji wakuu wa vyuoni , kwa hiyo tuache kulalamika tu !
 
Back
Top Bottom