Tetesi: Kwanini yanafanyika malipo yasiyoeleweka?


Moja kati ya Makosa ya Jiwe aliamini katika Yeye, Yani yeye ndo alikua Mfumo.

Hakujisumbua kusuka Mifumo Imara, Akifikiri yeye atatawala milele
 
Mafungu ya pesa za bajeti ya mwaka uliopita badala ya kurudishwa hazina, watendaji wanabuni matumizi yakulazimisha yanayolenga kuonyesha kuwa pesa zilitumika. Watendaji hujipangia safari mikoani, warsha na semina au utalii wa ndani kama ule uliofanywa Zanzibar watumishi wa wizara moja mwishoni mwa mwezi wa sita.
 
Reactions: Lax
sawa nimekuelwa mkuu --- ila mtoa mada anasema pesa zimekwapuliwa huko hazina zinapokaa

mwisho Magu kwanini hakuziba hii loophole - kwa ushupavu wake sidhani kama hakuna hii loophole?

tunakwama wapi kujenga mifumo imara?
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
ungejibu swali
Ndio nakuuliza fedha za serikali uwa zinaibiwaje? Kama hujui zinaibiwaje kawatafute accountants wa serikali watakupa elimu mimi siwezi kukupa elimu hapa huo muda Sina, lengo langu hapa ni kutoa taarifa wahusika wawe macho. Kama na wewe ni mmoja wa wezi be careful!
 
sawa nimekuelwa mkuu --- ila mtoa mada anasema pesa zimekwapuliwa huko hazina zinapokaa

mwisho Magu kwanini hakuziba hii loophole - kwa ushupavu wake sidhani kama hakuna hii loophole?

tunakwama wapi kujenga mifumo imara?
Hawawezi kuziba loophole ambayo inawanufaisha wote kwa kulindana, ile kitu inayoitwa ''Collective responsiblity'' inawahusu wote kutoka juu hadi chini.
 
Reactions: Lax
UMegoma
 
Hawawezi kuziba loophole ambayo inawanufaisha wote kwa kulindana, ile kitu inayoitwa ''Collective responsiblity'' inawahusu wote kutoka juu hadi chini.
Shukrani
 

Mkuu, mtoa mada anazungumzia pesa kuidhinishiwa matumizi moja kwa moja kutoka BOT na HAZINA.

Hii unayozungumzia wewe huwa inatokea baada ya fedha kuhamishiwa kwenye Taasisi (ikitoka BOT/HAZINA) ili Taasisi yenyewe iidhinishe matumizi rasmi.

Ikitokea muda umewatupa mkono (walichelewa kutekeleza/utekelezaji ulisuasua), ama walipokea fedha dakika za lala salama ndo hiyo hutengenezewa mpaka matumizi yaliyo nje na mpango wa awali ili kuepuka kuirudisha fedha BOT/HAZINA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…