Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,782 Reaction score 3,199 Apr 20, 2016 #1 Hawa watu wanaojiita wa kimataifa kwanini mpka leo hawafanyi uchaguzi? TFF mko wapi mnawalea hawa watu? wadau nao wako kimya,vyombo vya habari kimya..ifanyeni bc ndo taifa staz tujue 1
Hawa watu wanaojiita wa kimataifa kwanini mpka leo hawafanyi uchaguzi? TFF mko wapi mnawalea hawa watu? wadau nao wako kimya,vyombo vya habari kimya..ifanyeni bc ndo taifa staz tujue 1
kitwala JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,476 Reaction score 1,066 Apr 20, 2016 #2 Wakifanya au wasipofanya uchaguzi wewe wa matopeni itakusaidia nini labda? Au ndiyo mmeandaa zigo lenu lituletee migogoro kama mnakoelekea nyinyi?
Wakifanya au wasipofanya uchaguzi wewe wa matopeni itakusaidia nini labda? Au ndiyo mmeandaa zigo lenu lituletee migogoro kama mnakoelekea nyinyi?