mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Wanajf naomba ufafanuzi wa kauli za watangazaji wetu wanapotutangazia matokeo ya michezo Kwa timu .Timu mbalimba li zinapochezwa matokeo yao hutangazwa kama kawaida lakini matokeo ya Yanga ndio utasikia Timu ya Yanga imekufa kiume Kwa kufungwa Na TP Mazembe goli 3 Kwa 1.Mie nadhani Kufa in Kufa tu hata. ukifungwa goli moja hakuna kiume au kike .Watangazaji wetu tuache Ushabiki potofu.