Kwanini Yanga inakabiliwa na madeni makubwa? Hili deni ni la kulipwa haraka sana

Kwanini Yanga inakabiliwa na madeni makubwa? Hili deni ni la kulipwa haraka sana

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nadhani injinia atazingatia. Hili ni deni nyeti sana linagusa maslahi ya klabu
 
Yanga hatuna mganga mmoja 😂😂😂😂😂😂😂😂 na kila mganga hulipwa kazi ikiisha. Huyu atakuwa mganga wa madunduka katumwa tu.
HIvi siyo tena majini ni waganga? 😅😅😅😅😅 mnahaha sana mapaka.

#yangabingwa
 
Kumbe wewe ndiye ulikuwa unawapa maelekezo kuwa wapite mlango wa nyuma wakicheza na simba!
 
Utopolo wanapenda kutrend hata kwa mambo ya hovyo
 
Back
Top Bottom