Kwanini Yanga inakabiliwa na madeni makubwa? Hili deni ni la kulipwa haraka sana

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nadhani injinia atazingatia. Hili ni deni nyeti sana linagusa maslahi ya klabu
Your browser is not able to display this video.
 
Yanga hatuna mganga mmoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na kila mganga hulipwa kazi ikiisha. Huyu atakuwa mganga wa madunduka katumwa tu.
HIvi siyo tena majini ni waganga? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mnahaha sana mapaka.

#yangabingwa
 
Kumbe wewe ndiye ulikuwa unawapa maelekezo kuwa wapite mlango wa nyuma wakicheza na simba!
 
Utopolo wanapenda kutrend hata kwa mambo ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…