Kwanini Yanga kila ikifungwa na Simba vijisababu haviishi vya kulalamika?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
930
Reaction score
1,304
Ni aibu kwa timu kubwa kama Yanga kupiga kelele kila inapofungwa na SIMBA mbona Simba hailalamiki ikifungwa na Yanga?

Tatizo kubwa la Yanga ni mashabiki zake kuingia Uwanjani na matokeo na pia kudanganywa na Wachambuzi Uchwara kuwa timu yao ni bora kuliko timu nyingine.

Mchezo wa Jana ulikuwa fare Refa alijitahidi kwa Uwezo wake Kila timu ilipewa penalti 5 timu yenye wachezaji wanaojua kupiga penati ilifunga na golikipa bora anayejua kuzifuata penalt alizifuata na hatimae timu bora ilishinda na kutwaa ngao ya hisani.

Pongezi wa Uongozi wa TFF waamuzi Yanga na Simba pia Viongozi wa SIMBA Kocha na Wachezaji wote na hasa kipa bora kijana mdogo Ally.

YANGA ACHENI KULALAMIKA mmelowa mmelowa.

-143138546.jpg
1280889099.jpg
 
Ni AIBU kwa Timu KUBWA kama YANGA kupiga kelele kila inapofungwa na SIMBA mbona SIMBA hailalamiki ikifungwa na YANGA?
Tatizo KUBWA la YANGA ni MASHABIKI zake kuingia Uwanjani na MATOKEO na pia kudanganywa na Wachambuzi Uchwara kuwa Timu yao ni Bora kuliko Timu nyingine.
Mchezo wa Jana ulikuwa FARE Refa alijitahidi kwa Uwezo wake Kila Timu ilipewa Penalti 5 Timu yenye Wachezaji wanaojua kupiga PENALT ilifunga na Golikipa bora anayejua kuzifuata Penalt Alizifuata na hatimae Timu bora ilishinda na kutwaa NGAO ya HISANI.Pongezi wa Uongozi wa Tff Waamuzi Yanga na Simba pia Viongozi wa SIMBA Kocha na Wachezaji wote na hasa KIPA BORA kijana mdogo Ally.
YANGA ACHENI KULALAMIKA mmelowa mmelowa View attachment 2717029View attachment 2717031
Rekebisha Heading..
 
Ni aibu kwa timu kubwa kama Yanga kupiga kelele kila inapofungwa na SIMBA mbona Simba hailalamiki ikifungwa na Yanga?

Tatizo kubwa la Yanga ni mashabiki zake kuingia Uwanjani na matokeo na pia kudanganywa na Wachambuzi Uchwara kuwa timu yao ni bora kuliko timu nyingine.

Mchezo wa Jana ulikuwa fare Refa alijitahidi kwa Uwezo wake Kila timu ilipewa penalti 5 timu yenye wachezaji wanaojua kupiga penati ilifunga na golikipa bora anayejua kuzifuata penalt alizifuata na hatimae timu bora ilishinda na kutwaa ngao ya hisani.

Pongezi wa Uongozi wa TFF waamuzi Yanga na Simba pia Viongozi wa SIMBA Kocha na Wachezaji wote na hasa kipa bora kijana mdogo Ally.

YANGA ACHENI KULALAMIKA mmelowa mmelowa.

View attachment 2717029View attachment 2717031
🚮
 
Back
Top Bottom