F Firigisi Member Joined Feb 13, 2009 Posts 91 Reaction score 33 Feb 17, 2012 #1 Jangwani wananishangaza sana na staili yao ya kushangilia ,kuna uhusiano gani kati ya Jangwani na CCM? heri mimi nitabaki kuwa mshabiki wa Manyema United ... :lol:
Jangwani wananishangaza sana na staili yao ya kushangilia ,kuna uhusiano gani kati ya Jangwani na CCM? heri mimi nitabaki kuwa mshabiki wa Manyema United ... :lol:
M mashambani kwao JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 370 Reaction score 56 Feb 18, 2012 #2 wana laana tu hao.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Feb 18, 2012 #3 wanampenda riziwani naye anawapenda
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Feb 18, 2012 #4 Kaburi lao moja pumzi yao moja,angali uhusiano uliopo baina ya kandambili na magamba. Ccm=their breadwinner
Kaburi lao moja pumzi yao moja,angali uhusiano uliopo baina ya kandambili na magamba. Ccm=their breadwinner
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,647 Feb 18, 2012 #5 kama kweli anzia leo mi si shabik wao tena.