Wewe una mambo ya ajabu hujui kama Chelsea alimpiga liver kwake au umesahau?Hiyo ni kawaida mzee sio bongo tu hata ulaya haya mambo yapo na yanasababishwa na hizo timu kipindi zinakutana zipo katika hali gain, juzi tu Chelsea kashangilia sare mbele ya liver
Kwanini wewe aushangilii??Mjini hakukaliki, Yanga tangu wamepata sare na Simba wameshangilia sana matokeo hayo kama vile ambavyo Simba ingeshangilia kupata sare na Real Madrid. Je ni kweli kuwa kiwango cha Yanga kwa sasa kimeporomoka sana kiasi cha kuona sare na Simba ni miujiza na ushindi mkubwa. Takwimu zinaonyesha Yanga kwa zaidi ya mwaka moja na nusu hawajafanikiwa kuifunga Simba.
Kumbuka mwaka 2014/15 kama sijakosea wakati huo Yanga ilikuwa juu sana kwa kiwango cha uchezaji kuliko Simba. Simba ilitoka sare na Yanga tena golini akiwa Manyika junior. Simba hawakuamini kilichotokea wakishangilia zaidi miezi 2. Hii inatokea pale ambapo hizi timu mbili, moja iko juu na nyingine iko underdog. Kwa hiyo usishangae sana ndugu.Mjini hakukaliki, Yanga tangu wamepata sare na Simba wameshangilia sana matokeo hayo kama vile ambavyo Simba ingeshangilia kupata sare na Real Madrid. Je ni kweli kuwa kiwango cha Yanga kwa sasa kimeporomoka sana kiasi cha kuona sare na Simba ni miujiza na ushindi mkubwa. Takwimu zinaonyesha Yanga kwa zaidi ya mwaka moja na nusu hawajafanikiwa kuifunga Simba.
Acha uongo wewe,Hiyo ni kawaida mzee sio bongo tu hata ulaya haya mambo yapo na yanasababishwa na hizo timu kipindi zinakutana zipo katika hali gain, juzi tu Chelsea kashangilia sare mbele ya liver
Huoni liver ndo walisherehekea kupata droo..Hiyo ni kawaida mzee sio bongo tu hata ulaya haya mambo yapo na yanasababishwa na hizo timu kipindi zinakutana zipo katika hali gain, juzi tu Chelsea kashangilia sare mbele ya liver
Unatoka nje ya mada.. Stick to the pointLiver hata iyo 1 - 0 ya Napoli walishangangilia..maana 5 zilikuwa ziwahusu wahuni wale!
nimekwambia chelsea alishangilia draw kama hutaki unaachaWewe una mambo ya ajabu hujui kama Chelsea alimpiga liver kwake au umesahau?
chersea ndio alisheherehekea ndio maana kabla ya mechi ni washabiki wa liver pekee walikuwa wanauwezo wa kuongelea ile mechi ila baada ya mpira kuisha washabiki wa blues wakawa wanawazomea washabiki wa liverHuoni liver ndo walisherehekea kupata droo..
Mjadala umefungwasasa anaachaje kusherekea sare ili hali inampa point 1 huku akiwa juu ya simba
anaachaje kushangilia ikiwa inamfanya kutopoteza mchezo mpaka sasa.
kikosi cha billioni kupambana na kikosi cha robo billion kwa nini usishangilie
Kimsingi Yanga inashangilia kufanikiwa kwa mpango mkakati wa kukabiliana na kikosi cha Simba katika hali ya sasa wala sio sare. Ukipambana na adui (mpinzani)yako huna budi kujua nguvu zake na udhaifu wake dhidi ya nguvu zako na udhaifu wako. Halafu unatengeneza mpango wa kukabiliana nae ama ushinde au usiposhinda asipate fursa ya kukushinda. Kwa Yanga hilo limefanikiwa na limepunguza shinikizo linalotokana na kushindwa. Unapowadharau unakuwa hujaelewa kilichotokea. Adui kaachwa na shinikizo lake la kushindwa na pia hajui kitakachotokea baadae. Na kwa kuwa alishjipangia matokeo yake na ikawa sivyo anaumia zaidi. Ndivyo ilivyo kwa kila jambo. Ila sio kila MTU anaweza kuona au kufanya hivyo.Mjini hakukaliki, Yanga tangu wamepata sare na Simba wameshangilia sana matokeo hayo kama vile ambavyo Simba ingeshangilia kupata sare na Real Madrid. Je ni kweli kuwa kiwango cha Yanga kwa sasa kimeporomoka sana kiasi cha kuona sare na Simba ni miujiza na ushindi mkubwa. Takwimu zinaonyesha Yanga kwa zaidi ya mwaka moja na nusu hawajafanikiwa kuifunga Simba.
Mashabiki mbumbumbu kama wewe hata Comoro hawapo.Mjini hakukaliki, Yanga tangu wamepata sare na Simba wameshangilia sana matokeo hayo kama vile ambavyo Simba ingeshangilia kupata sare na Real Madrid. Je ni kweli kuwa kiwango cha Yanga kwa sasa kimeporomoka sana kiasi cha kuona sare na Simba ni miujiza na ushindi mkubwa. Takwimu zinaonyesha Yanga kwa zaidi ya mwaka moja na nusu hawajafanikiwa kuifunga Simba.
Yawezekana ukawa sahihi ila kwa kukukumbusha tu, Yanga hadi sasa hawajapoteza mchezo hata mmoja, pili; Sare in alama 1, hivyo, imeongeza alama 1 ktk alama za Yanga, tatu, japo ligi ipo mwanzoni, Yanga bado ipo juu ya Simba. Sielewi kwamba ulitaka walie!? Mtani bwana una vituko [emoji38][emoji38]Mjini hakukaliki, Yanga tangu wamepata sare na Simba wameshangilia sana matokeo hayo kama vile ambavyo Simba ingeshangilia kupata sare na Real Madrid. Je ni kweli kuwa kiwango cha Yanga kwa sasa kimeporomoka sana kiasi cha kuona sare na Simba ni miujiza na ushindi mkubwa. Takwimu zinaonyesha Yanga kwa zaidi ya mwaka moja na nusu hawajafanikiwa kuifunga Simba.
Mpira kachezewa lkn kaondoka na point moja ya ugeniniTuache ushabiki Yanga walichezewa,khaaaa!kama timu ya daraja la 3
Ni kweli kiwango cha Ndala kimeporomoka kwa kasi ya 4G.Mjini hakukaliki, Yanga tangu wamepata sare na Simba wameshangilia sana matokeo hayo kama vile ambavyo Simba ingeshangilia kupata sare na Real Madrid. Je ni kweli kuwa kiwango cha Yanga kwa sasa kimeporomoka sana kiasi cha kuona sare na Simba ni miujiza na ushindi mkubwa. Takwimu zinaonyesha Yanga kwa zaidi ya mwaka moja na nusu hawajafanikiwa kuifunga Simba.