Wote tunafahamu kwenye agano la kale dhambi ya uzinzi ilihesabika mpaka pale mtu alipozini lakini Yesu alijua kuiongeza makali ile sheria kwamba hata kwa kumuangalia mwanamke kwa kumtamani basi mtu huyo kafanya dhambi.
Je, ni nani atakayepona ulimwengu huu kama kila mtandao wa kijamii ukiingia unakutana na picha za wanawake wamevaa nusu utupu ukitembea barabarani unakutana na Wanawake wamevaa hovyo makanisani watu wanavaa hovyo?