Kwanini Yesu anaitwa Simba na si jina la mnyama mwingine?

Judah Tribe

Senior Member
Joined
Sep 1, 2024
Posts
159
Reaction score
594
Wazima kama swali linavyo uliza wakristo nitaomba majibu yenu kwanini YESU kristo aitwe Simba na si Mnyama mwingine mfano Tiger, Chui, Tembo au Nyati.

Najua humu kuna wataalam watakao tujibu kitaalam na kiimani zaidi ili iwe faida kwa wengi wasio fahamu na pengine walio kuwa wanafahamu kwa udogo.

Pia soma: Ijumaa Kuu: Kifo cha Yesu Kristo Msalabani (Simba wa Yuda)

Natanguliza shukurani maana nataka nimjue YESU zaidi Sana maana imeandikwa ndie mtawala ajaye kuitawala Dunia milele na milele.

Na imeandikwa yeye ndie atakae tupa miili mipya katika mji huo WA YERUSALEMU MPYA IJAYO

ASANTENI

 
Ni kwasababu Simba ni jasiri, haogopi, tena ana nguvu na tena anajulikana kama Mfalme wa pori.
 
ata angeitwa chui au nyati,bado ungeuliza kwa nini ameitwa ivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…