MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,882
- 5,896
Unashangaa kuombea wagonjwa!Ukiangalia katika biblia hakuna tukio la Yesu amefumba macho anaomba eti mtu flani apone.
Mara nyingi alitamka tu neno katika mazungumzo yake sio maombi na kitu kikatokea.
Au akakemea tu hali ikakaa sawa.
Hii imekaaje na maombezi mengi ya kisasa?
Acha uongo.Ukitaka kuelewa lazima kwanza urudi kwenye asili yake. He was 100% God in human form, kwahiyo alikuwa anatumia mamlaka yake ya kifalme ndiyo maana aliamuru tu hakuwa akiomba kabisa.
na akina Setaยก wako wapi leo... Lakini YESU YU HAI...Yeye ndiye neno, ulitazamia amuombe nani sasa? Ila tulia nikwambie, HUYO YESU KWELI ALIKUWEPO ILA ALIKUWA ANAIHUSU JAMII YA KIYAHUDI KAMA SISI WASUKUMA NA MWANAMALUNDI WETU,PUNGUZENI KUJIPENDEKEZA. PENDENI JAMII YENU.
Sema wewe huo ukweli, sio unaandika nusu nusu kama mjinga.Acha uongo.
DuhยกYesu nitapeli kama kina Mwamposa na meakasege kipumbavu kabisa
Kati ya yesu anayesema yeye ni mtu na wewe guluguja kutoka kazuramimba nani tumsikilize?Sema wewe huo ukweli, sio unaandika nusu nusu kama mjinga.
Amuombe Nani. Yeye ni Mungu aliyekuja kujionesha kibinadamu kuwa yupo ni wa kweli.Ukiangalia katika biblia hakuna tukio la Yesu amefumba macho anaomba eti mtu flani apone.
Mara nyingi alitamka tu neno katika mazungumzo yake sio maombi na kitu kikatokea.
Au akakemea tu hali ikakaa sawa.
Hii imekaaje na maombezi mengi ya kisasa?
Sijakosea kabisa kukuita wewe ni mjinga.Kati ya yesu anayesema yeye ni mtu na wewe guluguja kutoka kazuramimba nani tumsikilize?
View attachment 3642683
We mpumbavu.Sijakosea kabisa kukuita wewe ni mjinga.
Hiyo mistari ya Yesu kusema Yeye ni binadamu/mwana wa binadamu inajulikana sana, na haitaji akili kubwa kujua alikuwa katika umbo la nyama. Lakini ukisoma mistari hiyo hiyo, huyo mtu anasema: 'Mimi na Baba tu mmoja' au 'Aliyeniona mimi amemwona Baba.
Yani kwa akili yako ndogo unaona suala la Mungu kuwa na mtoto ni logical sense? Uwe unasoma na kuelewa kwanza.
we mpumbavu kweli, thibitisha kama Yesu yuko hai! Yuko wapi huyo jamaa kama kweli yupo hai? Acha ulokole wa mkumbo fikirisha akili na uelewa wako. Kondoo wewe.na akina Setaยก wako wapi leo... Lakini YESU YU HAI...
Bado nitaendelea kukuita mjinga na usiye jua kusoma na kuelewa.We mpumbavu.
Kama yesu ni Mungu baada ya kufa zile siku tatu, je dunia na ulimwengu ulikosa mungu kwa siku tatu?
View attachment 3642686
Halafu ebu niambue hapa Mungu ni nani na Yesu aliyeketi kulia kwa Mungu ni nani?Hivi nyie wagalatia mnajielewa kweli?
Au ndio mmerogwa mpaka ufahamu umetoka wote mmekua kama mazuzu?
aliwanenea wakapona na wafu wakafufuka soma biblia vizuriYeye ndiye neno, ulitazamia amuombe nani sasa? Ila tulia nikwambie, HUYO YESU KWELI ALIKUWEPO ILA ALIKUWA ANAIHUSU JAMII YA KIYAHUDI KAMA SISI WASUKUMA NA MWANAMALUNDI WETU,PUNGUZENI KUJIPENDEKEZA. PENDENI JAMII YENU. soma vizuri maandika
Kijana unatafsiri Biblia kama unasoma hadithi za Alfu Lela Ulela!Halafu ebu niambue hapa Mungu ni nani na Yesu aliyeketi kulia kwa Mungu ni nani?Hivi nyie wagalatia mnajielewa kweli?