Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hahaha kumbe?Majibu ya AI hayo, hana huo uwezo wa kujenga hoja za aina hiyo maana hata hiyo lugha haijui, nakuwekea ushahidi kabisa uone alivyo jisahau kwenye comment yake fulani hivi, baadae nilipomshtukia akarudi kwenda ku-edit haraka.
Kasome comment yake #44 halafu linganisha na hii picha, utagundua marekebisho aliyo yafanya.
Mkuu nadhani utakuwa umeona utofauti wa hiyo picha na hoja yake iliyo fanyiwa marekebisho.Hahaha kumbe?
Hahaha kumbe jamaa hamna kituMkuu nadhani utakuwa umeona utofauti wa hiyo picha na hoja yake iliyo fanyiwa marekebisho.
Nilijua tu lazima atabadilisha ndio maana nika-screenshot.
Hahaha inawezekana, binafsi kani-surprise pia, jinsi I'd yake ilivyo, sikutegemea kabisa kama atakuwa anategemea majibu ya AI kufanya mjadala.Hahaha kumbe jamaa hamna kitu
Ukisoma hivyo Biblia unaweza changanyikiwa.Kati ya yesu anayesema yeye ni mtu na wewe guluguja kutoka kazuramimba nani tumsikilize?
View attachment 3642683
Mbona nimesoma na sijachanganyikiwa?Ukisoma hivyo Biblia unaweza changanyikiwa.
Sawa.Mbona nimesoma na sijachanganyikiwa?
Acheni longolongo jibuni maswali.
Tuchukue maneno ya nani yesu mwenyewe anayesema yeye mtu au watu kama wewe wanaosema ni Mungu?
Wewe na Marcostilone hamjajibu ili swali.
Mnarukaruka na kukimbiakimbia tu na kujibanza kwenye kichaka cha biblia haisomwi kama hivyo.
Daaaah humu ndani hakuishiwi vituko π€£π€£π€£π€£π€£Majibu ya AI hayo, hana huo uwezo wa kujenga hoja za aina hiyo maana hata hiyo lugha haijui, nakuwekea ushahidi kabisa uone alivyo jisahau kwenye comment yake fulani hivi, baadae nilipomshtukia akarudi kwenda ku-edit haraka.
Kasome comment yake #44 halafu linganisha na hii picha, utagundua marekebisho aliyo yafanya.
πππ Yes, mimi nilimtahadharisha mapema kuwa tufanye mjadala kwa kutumia akili zetu tulizo jaaliwa, akadai yeye ni free mind, hawezi copy sehemu, sasa nimeona niuweke kabisa ushahidi wa free mind yake, ili isije kuonekana nazungumza jambo ambalo sina uhakika nalo.Daaaah humu ndani hakuishiwi vituko π€£π€£π€£π€£π€£
Hii ni aibu kwakweli!πππ Yes, mimi nilimtahadharisha mapema kuwa tufanye mjadala kwa kutumia akili zetu tulizo jaaliwa, akadai yeye ni free mind, hawezi copy sehemu, sasa nimeona niuweke kabisa ushahidi wa free mind yake, ili isije kuonekana nazungumza jambo ambalo sina uhakika nalo.
Twinie π€£π€£π€£πππ Yes, mimi nilimtahadharisha mapema kuwa tufanye mjadala kwa kutumia akili zetu tulizo jaaliwa, akadai yeye ni free mind, hawezi copy sehemu, sasa nimeona niuweke kabisa ushahidi wa free mind yake, ili isije kuonekana nazungumza jambo ambalo sina uhakika nalo.
ππ Naam Twin!Twinie π€£π€£π€£
Pole kwa kisanga cha eyiayiππ Naam Twin!
πππ Ahsante sana, angefuata ushauri niliompa muda, haya yote yasingetokea Twin.Pole kwa kisanga cha eyiayi
Dah haya sawa ππππ Ahsante sana, angefuata ushauri niliompa muda, haya yote yasingetokea Twin.