sasa unabishana na mimi au unabishana na maandiko matakatifu ya Biblia? Unaambiwa aliteswa akafa akazikwa, siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu. akapaa mbinguni kwa Mungu Baba. Yesu yu Hai. Mjuba mambo ya rohoni hujulikana kwa jinsi ya rohoni, ukiyaleta mwilini kwenye akili hizo ulizo nazo utafeli pakubwa na kuonekana ni kituko katika ulimwengu wa rohoKwa ujinga wako uliwahi ona wapi kiumbe kilichohai kisionekane?upumbavu ni dhambi unapaswa kuufikirisha ubongo wako siyo kila ulicholetewa na kulishwa na wakoloni ni sahihi,yesu afe halafu awe hai kweli?
Nibishane na mtu ambaye ni wazi kabisa ameaminishwa na hajui anachokiamini kuwa ni kweli au uongo?yesu anauspecial upi kuliko viumbe vingine hadi aishi kusikojulikana au ambako hakupo?jiongeze!!sasa unabishana na mimi au unabishana na maandiko matakatifu ya Biblia? Unaambiwa aliteswa akafa akazikwa, siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu. akapaa mbinguni kwa Mungu Baba. Yesu yu Hai. Mjuba mambo ya rohoni hujulikana kwa jinsi ya rohoni, ukiyaleta mwilini kwenye akili hizo ulizo nazo utafeli pakubwa na kuonekana ni kituko katika ulimwengu wa roho
Tatizo la wafia dini za kuja mlio wengi hamfikirishi bongo zenu nje ya biblia na kuiona biblia kuwa ni kitabu cha Mungu wa kweli pasipo kujiuliza kwanini kuwe na vitabu vingine vya Mungu vinavyopingana na biblia wakati Mungu ni mmoja??Ikiwa unataka kulinganisha katika viumbe hivyo utakuwa unakosea, kwani binadamu huwezi kumlinganisha na kiumbe asiyekuwa binadamu.
Athari za kihistoria zinathibitisha uwepo wao kutokana na maandiko yanavyoeleza, hata kaburi alilozikwa mtume Muhammad lipo Madina.
Vipi tunaweza kuthibitisha uwepo wa shetani hadi leo?
Tatizo la wafia dini za kuja mlio wengi hamfikirishi bongo zenu nje ya biblia na kuiona biblia kuwa ni kitabu cha Mungu wa kweli pasipo kujiuliza kwanini kuwe na vitabu vingine vya Mungu vinavyopingana na biblia wakati Mungu ni mmoja??
Alikudanganya mchungaji gani maneno hayo ??Sis yes alillipa deni letu issue ibaki kwet kumwamin yeye. Kinyum ya hapo unasepa na lusifa maan naye anatufa wa kwenda nao motoni
Yesu Kristo alifufuka