Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
[salam inakuaga hapa]
Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo sana.
Ni wazi JF imejitengenezea fan base kubwa sana kwenye baadhi ya social network mfano Instagram, Facebook, WhatsApp channel etc, ila kwenye YouTube statistics zimekataa.
Sijajua sababu ni poor contents, hamna maandalizi, quality ya kazi au nini?
Channel ya YT ya JamiiForums imeanzishwa mwaka 2009 lakini ata subscribers 200k haijafika. Views za video ni za kuunga unga tu? Wamepost zaidi ya video elfu 2 ila bado doro. Video elfu 2.
Wanazidiwa na Online TV kama Manara ambayo haina ata miaka miwili tokea ianzishwe. Na ata haina fanbase kubwa na loyal ila ni unga unga tu.
Simsemi mtu: ila imagine unatumia muda kuandaa content ya masaa 2 hafu inakuja na views 3. Like serious views 3.
Kwamba ata nyie wenyewe team yenu wote hamuangalii video zenu au?
Ushauri wangu:
- Mjitofautishe na Channel nyingine. Msiwe watoa taarifa kama wakina Millard Ayo, Manara TV etc, tafuteni niche nyingine, especially: Kuelimisha, na Kuburudisha.
Nasema msiwe watoa taarifa kwasababu, video zetu 10 za mwisho [kama kwenye screenshot hapo] tisa ni za taarifa na moja tu ndio kama story [kuhusu Titanic] na iyo ndio imeperfom vizuri.
- Kama ambavyo kwenye website hapa kuna forums [majukwaa] sasa yageuzeni yawe vipindi kwenye YouTube. Sio lazima kila jukwaa liwepo ila vitu vya kutoa elimu kama JF Health, Kitchen, Garage, Ujenzi, Ufugaji, etc mkavitengenezea vipindi [series] kwasababu sisi kama wanajamii tuna interact navyo ivyo kila siku.
Pia baadhi ya majukwaa mfano: Ajira na Tenda, Chitchat, etc mkayatengenezea kama midaharo [or Midahalo?] kwa kuchukua topic mbalimbali na watu wakazidiscuss [watu namaanisha watakao taka kuja sio lazima wawe wanaJF]
- Wekeni kipindi ambacho mtakua mnatoa briefly ya week ya JF kwa kuangalia habari za kila jukwaa kuu zilizotrend na jinsi wachangiaji walivyochangia.
Ingawa mtakua mnafilter replies lakini ni kama unakua umetusomea topic, then unaanza kutuambia jinsi wachangiaji mbalimbali walivyotoa maoni. Ni something amazing mkitulia.
- Na mwisho, naweza sema Channel yenu haina uhusiano kabisa na website. Yaani as if ni vitu viwili tofauti. Nasema ivo kwanini?
Cheki kwenye account zenu kwenye social networks nyingine mfano X, FB, Instagram etc mnachofanya mnachukua vitu au mada ambazo tumezipost huku then mnazihakiki mnazi edit mnazipost huko. Good.
Lakini YT kila kitu mnajitengenezea nyie kuanzia habari, vipindi, picha, etc. Yaani hakuna connection kabisa.
Ifanyeni YouTube channel iwe mali ya Wanajamiiforums.
Mi naomba niishie hapa, kama mawazo ni positive myachukue kama mtakaza fuvu sawa.
Gracias.