Nimesikia balozi wa Tanzania nchini China anasema Yutong wanaleta karakana (garage).
Ukweli sijafurahishwa kwa sababu garage ni biashara ya Watanzania siyo kazi ya kuagiza nje.
Halafu haya mabus ya Yutong wanayatengeneza kwa vipimo vya wanafunzi wa shule ya msingi maana ukiwa mrefu kidogo tu viti vinabana sana.
Ni bora wangeleta Zhong Tong ambao mabus yao ni standard kwa mtu yeyote anasafiri kwa starehe.
Hebu viongozi wetu mwe mnatufanyia vitu vizuri sio kuidhinisha vitu vyenye kiwango duni kama hayo mabus ya Yutong.