Tatizo viongozi wetu ni wa matanuzi sana, hawatumii public transport, adha wanazozipata watu wa kawaida wao hawazioni, hayo unayosema ni kama unawapigia mbuzi gitaa, wao wapo kumfavour mfanya biashara na siyo mlajiHalafu haya mabus ya Yutong wanayatengeneza kwa vipimo vya wanafunzi wa shule ya msingi maana ukiwa mrefu kidogo tu viti vinabana sana.
Ni bora wangeleta Zhong Tong ambao mabus yao ni standard kwa mtu yeyote anasafiri kwa starehe.
Hebu viongozi wetu mwe mnatufanyia vitu vizuri sio kuidhinisha vitu vyenye kiwango duni kama hayo mabus ya Yutong.