Kwanini zaidi ya misimu mitatu(3) Kennedy juma haaminiwi??

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Wanakuja wachezaji wengi wanaondoka ila Kennedy Juma anabakia tena hakuna shabiki ana dout kabisa na hata akipewa nafasi anakiwasha sana.

Hata timu ya taifa anaitwa sana, shida iko wapi? Simba tunamuona Mwamnyeto ni beki bora wa Yanga kuliko wachezaji wazawa? Vipi Kennedy Juma sio beki bora kama Mwamnyeto/kumzidi?

Na kwanini zaidi ya misimu minne hapati nafasi wakati ni wazi akipewa 15 minutes anakiwashaa sana?

Tuanzie hapa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aombe atoke akacheze Namungo KMC Dodoma etc
 
Kabla hujajibiwa, na wewe unatakiwa kuyajibu haya maswali yangu kwanza;

1. Ni nani aliyekuambia huyo mchezaji Kennedy Juma haaminiwi?
2. Ni kwa nini umemlinganisha na Bakary Mwamnyeto anayechezea Yanga, na wakati yeye Kennedy Juma anachezea simba?
3. Hiyo nafasi uliyotaka aipate ndani ya misimu minne ni ipi hiyo? Au ulitaka makocha wampange kwenye kila mechi, hata kama kuna wachezaji ambao walionekana wana sifa ya kuanza badala ya yeye Kennedy Juma?
4. Kwa nini unaoneka kuumia zaidi pengine hata kuliko mchezaji husika kukosa hiyo nafasi ya kucheza ndani ya misimu minne?
 
Kennedy Juma ni beki mzuri
Labda hatujui makocha hawaridhishwi na nini kutoka kwake
Maana wao ndo wataalam wanaishi nae kambini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la pili ni utopolo...rudia kuandika
 
Ukitulia huwa una hoja
 
Wachezaji watu wengi hawana basic football skills hvyo sisi tunawaona wanacheza vizuri ila kuna vitu hawapo sawa kwa mfano

Positioning when they don't have the ball
Positioning when they have the ball
Movement and support

Hawafanyi scanning (iniesta ali scan mara 6 kabla hajapokea pasi kutoka kwa Fabregas pale sauth Africa kwenye world cup) check you tube
Martin odeegard ndio anaongoza kwenye ku scan EPL hata Arsene Wenger anasema alishawaacha mastar wakubwa walikuwa wanaangalia chini wakati wakiwa na mpira kama boco mzamiru na mwenda wanaangalia chini bongo feisal ndio best scanner kwenye league yetu.

Hayo ni machache kati ya mengi kwenye basic za modern football mkuu ndio maana wachezaji wengi wa bongo wakienda nchi za nje wanafeli.
 
Beki mzuri, ila hana spidi.
Makocha wengi wanashindwa ku risk
 
Kennedy alikuwa mzuri alipokuwa nahidha wa Singida United enzi hizo. Kwa Sasa muda umempita.
 
Maswali YAKo yote hayana msingi......tokea lini mwanafunzi akamkosoa mwalimu kwenye mtihani???

Huenda hoja zako zikawa za msingi Sana ila kama zipo sahihi kwanini hukuanzisha mada YAKo ambayo specifically utajitetea kwa hizo hoja zako???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…