Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
ukiondoa vichwa utapunguza mboga usawa wenyewe huu wa magu.!Mambo yanabadilika sana kwanini zamani kabla ya kupika dagaa walikua wanakatwa vichwa ila siku hizi hawaondolewi vile vichwa na bado wanakua watamu tu
Nini lengo la kuondoa vile vichwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vichwa navyo kwa hali ilivyo dili sasa! Acha kabisa, maisha yana heshima kabisa..
Hakuna fungu LA bei hiyo mkuuMaisha magumu. Fungu la sh 50 ukiondoa vichwa unadhani utabakiwa na nini?
Dagaa wa siku hizi sio makauzu kama wa zamani!
Cc: mahondaw
Zamani dagaa walikuwa wanaanikwa chini kwenye mchanga hivyo hupelekea dagaa wale kuwa na mchanga mwingi kichwan hivyo Wakati wa kupika inabidi uviondoe vile vichwa kwa sababu ya mchanga
Ila kwa sasa wanaanikwa juu kwenye vichanja hivyo si rahisi dagaa kuwa na michanga na ndio maana kwa sasa wanapikwa bila kutoa vichwa
Umenoga swahiba[emoji39] [emoji39] [emoji39]Njaa mkuu!