Mkuu kwanza katika biashara ngumu zaidi duniani ni biashara ya usafiri wa ndege, ndio maana kati ya makampuni yanayozugumzia hasara zaidi duniani ni ya ndege na ukisema Zanzibar wangeachana na local travel na kujikitazaidi na international travel, nani apande ndege ya Zanzibar wakati anayaona makampuni makubwa ya ndege kama KLM, SWISS AIR, LUFTHANSA, EMIRATE, QADAR AIRWAYS, BRITISH AIRWAYS nk yenye uhakika wa usalam
Hapa umezungumza, bila strong local airline sahau utalii wako kukua. KLM na Emirate hawako hapa kuunga mkono mikakati yako ya kiuchumi bali mikakati ya nchi zao ya kiuchumi. Hawawezi hata siku moja kusumbuka kufikiria jinsi mtalii atavyounganishwa kwa haraka na nafuu kwenda Katavi, Ruaha, Serengeti, etc. Issue ni uelewa wa airline industry ambako lengo ni uwezeshaji wa biashara na sio lazima kupata faida ya moja kwa moja katika vitabu vya shirika. Kenya Airways sina hakika kama ilishapata faida toka iwepo mwaka 1977! Lakini hawawezi kuifuta hata siku moja maana ndio muhimili muhimu wa soko lao la utalii. Hata hivyo tusichanganye hasara itokanayo na uzembe na hasara ya mazingira ya kibiashara. Ukiangalia ATCL na kuweka siasa za ndani mbali utaona kuwa muhusika mkuu wa hasara iliyotajwa na CAG ni Serikali kwa kushindwa kufanyia kazi mambo yaliyo nje ya uwezo wa ATCL. Swala la madeni makubwa yaliyolithiwa na ukodishwaji wa ndege kutoka TGFA yamekuwapo kwa muda sasa na CAG amekuwa akiitaka Serikali kuhakikisha imeyafanyia kazi ili hesabu za ATCL ziwe na uhalisia. Pamoja na changamoto hizo, bado sidhani kama ATCL ingepata faida katika kipindi kifupi hivi ingawa hasara ingekuwa ndogo sana. Kama kutengeneza faida ingekuwa rahisi hivyo basi Precision angekuwa sio tu na madege ya kisasa bali pia na vitabu vya hesabu vyenye mabilioni ya faida na sio mabilioni ya hasara kama ilivyo sasa.Watu hu prefer local airline wanapoenda kutembelea nchi husika..
Hapa umezungumza, bila strong local airline sahau utalii wako kukua. KLM na Emirate hawako hapa kuunga mkono mikakati yako ya kiuchumi bali mikakati ya nchi zao ya kiuchumi. Hawawezi hata siku moja kusumbuka kufikiria jinsi mtalii atavyounganishwa kwa haraka na nafuu kwenda Katavi, Ruaha, Serengeti, etc. Issue ni uelewa wa airline industry ambako lengo ni uwezeshaji wa biashara na sio lazima kupata faida ya moja kwa moja katika vitabu vya shirika. Kenya Airways sina hakika kama ilishapata faida toka iwepo mwaka 1977! Lakini hawawezi kuifuta hata siku moja maana ndio muhimili muhimu wa soko lao la utalii. Hata hivyo tusichanganye hasara itokanayo na uzembe na hasara ya mazingira ya kibiashara. Ukiangalia ATCL na kuweka siasa za ndani mbali utaona kuwa muhusika mkuu wa hasara iliyotajwa na CAG ni Serikali kwa kushindwa kufanyia kazi mambo yaliyo nje ya uwezo wa ATCL. Swala la madeni makubwa yaliyolithiwa na ukodishwaji wa ndege kutoka TGFA yamekuwapo kwa muda sasa na CAG amekuwa akiitaka Serikali kuhakikisha imeyafanyia kazi ili hesabu za ATCL ziwe na uhalisia. Pamoja na changamoto hizo, bado sidhani kama ATCL ingepata faida katika kipindi kifupi hivi ingawa hasara ingekuwa ndogo sana. Kama kutengeneza faida ingekuwa rahisi hivyo basi Precision angekuwa sio tu na madege ya kisasa bali pia na vitabu vya hesabu vyenye mabilioni ya faida na sio mabilioni ya hasara kama ilivyo sasa.
Boss unapotoa issues bila kuweka siasa za CCM na CHADEMA huwa unavutiaππππNdo maana naamini Zanzibar wanahitaji shirika Lao la ndege kukuza utalii..
Wakianzisha Leo hata ndege mbili za kukodi Tu litawapa faida kubwa kiutalii..
Boss unapotoa issues bila kuweka siasa za CCM na CHADEMA huwa unavutiaππππ
Boss unapotoa issues bila kuweka siasa za CCM na CHADEMA huwa unavutiaππππ
Bombadia si zinafanya safari zanzibar?.iangaliwe faida ya hiyo route.Sio lazima wanunue ndege ..au kununua ndege nyingi
Wanaweza anza hata kwa kukodi ndege chache..hata mbili tu..