Kwanini Zanzibar inakuwa mbele kutoa taarifa za Corona kuliko Tanzania bara?

Mnaopanga kuja Zanzibar bakini huko huko mlipo ili kuepusha mambukizo- waziri wa afya Zanzibar.
 
Since
 
WHO wanazingatia mkataba wa montevideo on statehood,ambapo sababu Zanzibar sio dola huru haiwezi kujiunga najumuia kama WHO na kwa sabanu hiyo hawawezi kuitambua. Sisi kama JMT tunazingatia mambo ambayo yanahusu muungano,kwa kuwa afya sio suala la muungano sidhani kama kuna confusion yoyote.
 
Sababu ya kwanza na kuu ni kwamba afya si swala la muungano, pili ni kiherere cha kutaka kusika, kuonekana kuwa wanayo authority 'mamlaka'.
 
... by the way, idadi ya wagonjwa wa Tanzania inajumuisha ile ya Zanzibar? Namaanisha jumuiya za kimataifa kama WHO wanachukua taarifa za Ummy au wanachukua za Ummy na kuongeza zile za Zanzibar kama statistics za Tanzania?

Idadi ya wagonjwa inayotangazwa na jumuiya za kimataifa inajumuisha na takwimu za Zanzibar

Zanzibar ni eneo la Tanzania
 
Ile ni nchi wewe pumbavu na siasa zako za kihayawani hizo. Kwani afya ni swala la muungano? Ndiyo Mjue mwali hawataki mnambaka tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…