technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Najiuliza ili swali inakuwaje Zanzibar watu hawatekwi na kupotea Kama bara?
Toka watu wameanza kutekwa na kupotea mwaka 2016 mpaka mwaka huu ni 2024!!
Sijawai kusikia mzanzibar katekwa na kupotea
Ila watanganyika ndio waanga wa utekaji na kupotea hii ni bahati mbaya au Nini ?
Sipati majibu mwenye majibu tafadhari.