Sijui kama nimelielewa vizuri swali lako lakini nafikiri inawezekana mechi kupigwa usiku hasa baada ya uwanja mpya wa taifa kukamilika.
Mashindano haya yanayoendelea yanafanyikia Zanzibar kwa sababu sherehe zenyewe za mapinduzi zitafanyikia Zanzibar.
Nnachokubaliana na wewe ni kwamba, Uwanja wa Amani ndio ulikua na uwezo wa kuweza kutumika kwenye mechi za usiku kitambo sana.