Kwani si wanakuwa wametoza bei ya vipimo, na bei ya kumuona dakitali; sasa kwanini wabaki na karatasi!Wanataka ununue dawa kwenye maduka yao
Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini!
Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni?
Wajuvi tujuzeni!
Ndiyo dawa yao,Mi uwa napiga picha.
Oooh kwahiyo ni siri yao siyo siri ya mgonjwa mwenyewwKwani hospitali za serikali unaruhusiwa kuondoka nazo?
Wengi mnapotoshwa na mawazo kuwa 'unazuiliwa' ili ununue dawa hapo hapo.
La hasha!
Kinachoandikwa pale sio dawa pekee, ni pamoja na taarifa za mgonjwa. Una haki ya kupewa taarifa, lakini huwezi kusoma mwenyewe ukaelewa.
Kama unahitaji omba utapatiwa, lakini hawawezi kuziachia wazi kwa kila mtu kwa maana haijulikani nani ni nani.
Hii ni kwa usalama/usiri wa taarifa zako.
Oooh kwahiyo ni siri yao siyo siri ya mgonjwa mwenyeww
Ndiyo dawa yao,
Ni hasara zipi kwa mfano doctorNi siri ya mgonjwa, wenye kuhitaji huwa wanafahamishwa... kumbuka walio wengi ni wapumbavu mno kiasi kwamba hata hawajui kila kitu kuwahusu.
Cheti kinaandikwa kwa codes za kitaalamu, raia hawezi kuelewa na hivyo hawezi kutunza cheti hicho... kikiangukia mikononi mwa watu wabaya wanaojua kutafsiri sio poa.
Jengeni tabia ya kuamini wataalamu wetu, worst comes to worst... hofu ya kupigwa sijui pesa hasara yake ni kubwa kuliko faida.
Mi uwa napiga picha.
Hakuna mgonjwa anaeruhusiwa kuondoka na file la matibabuMoja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini!
Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni?
Wajuvi tujuzeni!
Ni hasara zipi kwa mfano doctor
draw match we unaondoka na Dawa na ugonjwa wako wao wanabaki na file na daktari wao sasa shida iko wapi?Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini!
Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni?
Wajuvi tujuzeni!
ni mazingira ya kutunza taarifa za mgonjwa lakini pia ni sehemu ya marketing kwa kuwa mara nyingi wagonjwa hupenda kwenye hospitali waliotibiwa kwanza kwa kuamini wa histori za changamoto zao kiafya .Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini!
Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni?
Wajuvi tujuzeni!
Anazungumzia karatasi iliyoandikwa dawa siyo file.Nenda pale Muhimbili ukaombe kuondoka na file lako nyumbani.
File kubaki hispitali ni record management ili ukirudi next time ijulikane ulifanyiwa vipimo gani na kuandikiwa dawa gani, je tatizo la sasa linamahusiano na lile la mwanzo au ni tafauti? Kama unazihitaji sana piga photocopy au picha kwa siku yako.
Ni uhuni tu huwa unafanyika. Hospitali wanatakiwq kuandika dawa walizotoa kwenye file na wewe ile karatasi ya dawa uende nayo. Na ile karatasi inakuwa na copy yake ya njano kww chini. Ukipewa dawa, unaacha ile ya njano na original unaenda nayo.Kwani hospitali za serikali unaruhusiwa kuondoka nazo?
Wengi mnapotoshwa na mawazo kuwa 'unazuiliwa' ili ununue dawa hapo hapo.
La hasha!
Kinachoandikwa pale sio dawa pekee, ni pamoja na taarifa za mgonjwa. Una haki ya kupewa taarifa, lakini huwezi kusoma mwenyewe ukaelewa.
Kama unahitaji omba utapatiwa, lakini hawawezi kuziachia wazi kwa kila mtu kwa maana haijulikani nani ni nani.
Hii ni kwa usalama/usiri wa taarifa zako.
Ni uhuni tu huwa unafanyika. Hospitali wanatakiwq kuandika dawa walizotoa kwenye file na wewe ile karatasi ya dawa uende nayo. Na ile karatasi inakuwa na copy yake ya njano kww chini. Ukipewa dawa, unaacha ile ya njano na original unaenda nayo.
Dispensary wanakataa kutoa vyeti ili ununue dawa kwao na hii ishu inabidi kukemewa.