happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 604
- 1,970
Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa.
Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya msingi kuikataza zinaa.
Kama kitendo cha watu kukutana kimwili kingekuwa kibaya. Mbona watu walio kwenye ndoa wanafanya mapenzi na sio shida!!?
Kwa nini ukifanya nje ya ndoa au kabla ya ndoa ndio inakuwa dhambi? Je, kuna uhusiano wa dhambi ya kuzini na mapadre kutooa?
Je, kuna uhusiano wa dhambi ya kuzini na maustaaz kuwakwepa wanawake (maustaaz wa tiba)? Kuna madhala yoyote kwenye ulimwengu wa kiroho unaosababishwa na kufanya ngono?
Kuna vitu kama utakaso, janaba nk
Ebu intelligent anaejua anipe somo kidogo