Kwanini zinaonekana Hali ya kuwa nime-block

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Msaada wataalam...
Kwanini nikiblock namba fulani ya Simu Ila nikija kutazama kwenye setting kipengele Cha block sms and block call Huwa naziona sms zote nilizochat na hiyo namba hata kama nilifuta meseji zote kabla ya kublock..
Wakuu naomba mnisaidie hapa,, naweza kuona kama nimeficha privacy zangu za meseji kumbe wapi..
 
Achana michepuko mkeo akikubamba jua na yeye atachepuka, vya mla uliwa
 
Msaada wataalam...
Kwanini nikiblock namba fulani ya Simu Ila nikija kutazama kwenye setting kipengele Cha block sms and block call Huwa naziona sms zote nilizochat na hiyo namba hata kama nilifuta meseji zote kabla ya kublock..
Wakuu naomba mnisaidie hapa,, naweza kuona kama nimeficha privacy zangu za meseji kumbe wapi..
Tafta Go SMS hutojutia kuchepuka 😁
Namba za unaowablock unaweka kwenye private box, afu hata wakikutext unaweka icon ambayo wewe tu ndio unajua ni sms na jinsi ya kufungua unajua wewe tu.
 
Unyama sana mkuu
 
Back
Top Bottom