..... let me see how vijana wamejiandaa andaajeGuys naomba mnisaidie kitu ehh....kuna kazi natakiwa kufanya ila naona itachukua muda sana kuuliza watu one on one kwahiyo nimeona nitafute njia rahisi kwa kuuliza hapa jamvini instead!
Kwa wale ambao hamjaoa/olewa je mna mpango wa kufanya hivyo???
Kama jibu ni ndio kwanini unataka na kama jibu ni sio kwanini hutaki????
Kuna msichana mmoja kanichekesha kweli....ye kaniambia anataka tu ili avae gauni zuri na kua kama malkia kwa siku moja yatakayofuata hajali!!Haya naomba basi nisikie sababu zenu!!
Embu jibu bwana.....ntashika mkia darasani!!!:mod:
dahhh
najua ntaolewa siku ikitarajia sababu si
muhim sana kwangu hivyo vingine tutavikuta
baada ya ndoa ila cha kwanza awe na upendo wa kweli
mzuri kwenye majambozzz na awe na kazi ...
Hapo kwenye bluu mbona kama najiona nafiti vile...Vipi nikufuate PM? 🙂
hahahahahah lol
sio mbaya kama unafiti
WARNING : kazi iwe kazi hasa
itakayo nitoa shopping za hatari
hahahahahah lol kama bado una fiti
tuingia chumbani mmmmmhhhhhh
Bado nafiti sana tu! Shoppng za hatari ndio HOBBY yangu! Ngoja nije chumbani! Tehetehetehete!!
hahahaahahah lol
haya wakati we unajitayarisha kuingia chumbani
ngoja mie nianze internet shopping hahahahah lol
nirushie hizo digit kwenye credit card basi mmmmhhh
hhaahahahah lol
Shopping ya kuongoza mguu kwa mguu ndio tamu bwana, siyo ya kwenye internet! Tehetehetehe!
basi yaelekea wajua nachotaka
twende basi uvunguni hahahahah lol
au bado kuna vumbi mmmmhh
Tangulia basi chumbani, ukapaandae vizuri! Ili tujiandae kwenda zetu shopping!
Guys naomba mnisaidie kitu ehh....kuna kazi natakiwa kufanya ila naona itachukua muda sana kuuliza watu one on one kwahiyo nimeona nitafute njia rahisi kwa kuuliza hapa jamvini instead!
Kwa wale ambao hamjaoa/olewa je mna mpango wa kufanya hivyo???
Kama jibu ni ndio kwanini unataka na kama jibu ni sio kwanini hutaki????
Kuna msichana mmoja kanichekesha kweli....ye kaniambia anataka tu ili avae gauni zuri na kua kama malkia kwa siku moja yatakayofuata hajali!!Haya naomba basi nisikie sababu zenu!!
Uanze kuheshimiana na nani??!!nataka kuoa,ili tuanze kuheshimiana,naona mabinti wanaweweseka sana,afu pia ili niwaache wengne nao wapate wenza,maana wote mijicho kwangu..
Hahahahahah bishanga banaRose hapo kwenye red hupati mtu!