Mimi , just like huyo msichana the only thing I look forward to regarding ndoa is, the dress/party and having my one kid. Other than that I have no desire nor energy to spend my life catering for any man's whims and needs..................sigh!
Ushauri wa bure Masaki,we jikalie hivi hivo msela,wallah ukioa kwa mkumbo utajuuuuuuuuuuta na pa kukimbilia utakuwa huna!Natamani tu kuoa kwa sababu rafiki zangu wote wameoa. Nimebaki peke yangu senior bachelor!!
1.Awe na maloveeedahhh
najua ntaolewa siku ikitarajia sababu si
muhim sana kwangu hivyo vingine tutavikuta
baada ya ndoa ila cha kwanza awe na upendo wa kweli
mzuri kwenye majambozzz na awe na kazi ...
Ushauri wa bure Masaki,we jikalie hivi hivo msela,wallah ukioa kwa mkumbo utajuuuuuuuuuuta na pa kukimbilia utakuwa huna!
Masaki na AD yaani mnasarandiana hivi hivi tunaangalia,wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeShopping ya kuongoza mguu kwa mguu ndio tamu bwana, siyo ya kwenye internet! Tehetehetehe!
duh!ngumu kumeza
Sasa hapo Masaki ndo kabisaaaaa unajitumbukiza kwenye mtego bora hata wa panya,family day,una hakika katika hizo family day hizo tabasamu unazoziona ni za kikweli kweli? Nakwambia Masaki wengi wa hao unawaona katika family day wakirudi kwenye magari yao baba uso mbele kwenye usukani mama uso kushoto anaangalia maghorofa,mtoto akianguka akaumia ndo utasikia 'tuwahi hospitali' ukute walikuwa na wiki wanapishana ka treni. Usicheze na ndoa Masaki.Kwa kufanya hivyo nitashindwa kufiti kwenye jamii! Fikiria kwenye family days watu wanakuja na wake na watoto wao, wewe uko peke yako!
Lizzy Lizzy Lizzy huyo!
Anamelemeta, Anamelemeta, Lizzy Anamelemeta, Anamelemeta!
Wamutwala omwana wasu wamutwala agumile!
e.t.c
Siyo mbaya siku moja katika maisha kuwa "juu ya taabu na shida zote za ulimwengu huu"!!!!
Ingawa sikuulizwa mie but najipendekeza.................... mie niliamua kuwa na mwenza kwa kuwa I thought I had found the love of my life............... (sikaribishi maswali tafadhali)