Kwanini............??

Kwenye mahusiano yoyote, UPENDO ndio msingi wa kila kitu.
Ndoa ni UPENDO
Nitaomba Mungu nipate mwanandoa mwenye UPENDO
Ahsante MJ1
 
Hata unitishie namna gan mi ntaoa tuuuu!
 
Ivi tangu lini ndoa ya Kikristo imekuwa kati ya watu wawili tu? Maana nikiangalia, kuna mifano mingi ya Wababa wa Imani kuwa na wake zaidi ya mmoja! Kwa mfano Daudi!
Mie ningefurahi kuwa na wake kadhaa...
 
Ingawa sikuulizwa mie but najipendekeza.................... mie niliamua kuwa na mwenza kwa kuwa I thought I had found the love of mylife............... (sikaribishi maswali tafadhali)
MJ1 ,kwenye red hapo,'you thought',sasa baadae ikawaje?
 
mmmhh Bishanga
Mbona wapo wengi tu
wanaweza hayo na zaidi ..
Ugumu hapo uko wapi tu ???
Ugumu ni mawili ya mwanzo:
1. Ku maintain tempo ya malovee mliyoanza nayo yahitaji moyo
2.Kwa wanaume mazoea ni kitu kibaya sana,maana mwanzo ngono mnakuwa kama vile mnapepea hewani,full shangwe,mkishazoeana inaanza kuwa routine na usipoangalia inakuwa karaha maana mwenzio anakuwa 'anadai' haki yake,no wonder biashara ya viagra ni kubwa duniani na usidhani wanaozimeza ni wazee tu,na vijana wamo tena wenye ndoa mbichi tu,kagua magari yao utazikuta mara cilias,mara za kichina mradi tu ziwasaidie kurekebisha mambo nyumbani.
 

Mi niliamua kuolewa sababu nilimpenda (nampenda bado),
pia nlichoka kutenda dhambi wakat tunaweza kula bila wasiwasi wala kupimiwa??
 
Mi niliamua kuolewa sababu nilimpenda (nampenda bado),
pia nlichoka kutenda dhambi wakat tunaweza kula bila wasiwasi wala kupimiwa??

Hongera kwa uamuzi uliofanya,nikiwa mwana taasisi hiyo kwa muda ni kweli kwamba umeacha kuenda hiyo dhambi?
 
Because I loved the one, could not miss her and aspire to spend the rest of our lives together. and believe me, even todate, I am positive that my decision was right!
 


umeniwacha hoi,nimecheka balaa!!
umenikumbushakisa fulani ivi kikaoni!

vijana ma-singlez bwana?
 
kuoa/kuolewa ni bonge la heshima pia ni mpango wa Mungu.Jamii inawadharau watu ambao hawako kwenye ndoa.fikiria kwa mfano hata masharti ya kuwa Rais wa nchi inabid uwe na mke/mme.Ukiwa huna mke/mme unakosa mengi sana ambayo wenye familia wanayapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…