Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Nchini China kuna takwimu kwamba wao huzalisha Makandarasi Milioni 2 kila Mwaka,ila barani Africa tuna wahitimu wa vyuo vya theologia yani wachungaji milioni 10 kila mwaka na bado wachawi wanasumbua sana kwa kuzalisha maradhi mbalimbali na kuwatupia watu hata sio maradhi tu wanatusumbua sana kwa kutuwangia, Je nini kifanyike ili tukae sawa na maendeleo yabaki kuwa kwenye mstari wa mbele. #Julius Malima & Chrismungss.