Kwanini

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Nchini China kuna takwimu kwamba wao huzalisha Makandarasi Milioni 2 kila Mwaka,ila barani Africa tuna wahitimu wa vyuo vya theologia yani wachungaji milioni 10 kila mwaka na bado wachawi wanasumbua sana kwa kuzalisha maradhi mbalimbali na kuwatupia watu hata sio maradhi tu wanatusumbua sana kwa kutuwangia, Je nini kifanyike ili tukae sawa na maendeleo yabaki kuwa kwenye mstari wa mbele. #Julius Malima & Chrismungss.
 
Je nchi ya uchina wanaamini sana mambo ya theology au technology?
 
hiyo idadi ya wachungaji wakija bongo aise watakula ten ten za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…