Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Nimejaribu kufikiria hili jambo lakini majibu niliyopata hayatoshelezi!!
Kwanini wanawake wenye magari(PRIVATE CARS) hawatoi lift kwa wanaume hata kwa wanawake wenzie lakini wanaume wanatoa lift kwa wanawake hata bila kuombwa pia wanakuwa wagumu kwa wanaume wenzie??!!
nimejaribu kufikiria hili jambo lakini majibu niliyopata hayatoshelezi!!
kwanini wanawake wenye magari(private cars) hawatoi lift kwa wanaume hata kwa wanawake wenzie lakini wanaume wanatoa lift kwa wanawake hata bila kuombwa pia wanakuwa wagumu kwa wanaume wenzie??!!
ni kweli aujapata jibu we bwna?
wanaume WANA ROHO NZURI SAAAAAAAAAAAAAANA ndo mana wanatoa lift kwa MADEM TU
wanawake wana roho mbaya saaaaaaaaaana ndo mana hawatoi lift
kuna watu wengine unaweza kuwapa lift ukakutwa ufukweni umekufa....mwanaume anampa mwanamke lift kwa sababu anaweza kumkabili ikitokea tatizo.....hampi mwanaume mwenzie kwa sababu anajua incase of kipondo...inaweza kuwa shida......umenielewa shemeji?
Nafikiri ni kweli wakati mwingine si kweli.
Siku moja mimi natembea zangu majira ya saa mbili usiku kwenye msitu wa Changanyikeni ukitokea UDSM, nilipewa lift na dada tena alikuwa peke yake ndani ya gari, nilishangaa sana na sikuwahi kumfahamu huyu dada kabla (anafanya kazi VODACOM.)
Usalama kwanza sikuhizi binadamu anaogopwa kuliko shetani.
Duh!! Vipi ulimwomba lift au alisimama mwenyewe akakupa??!!
kuna watu wengine unaweza kuwapa lift ukakutwa ufukweni umekufa....mwanaume anampa mwanamke lift kwa sababu anaweza kumkabili ikitokea tatizo.....hampi mwanaume mwenzie kwa sababu anajua incase of kipondo...inaweza kuwa shida......umenielewa shemeji?
kuna watu wengine unaweza kuwapa lift ukakutwa ufukweni umekufa....mwanaume anampa mwanamke lift kwa sababu anaweza kumkabili ikitokea tatizo.....hampi mwanaume mwenzie kwa sababu anajua incase of kipondo...inaweza kuwa shida......umenielewa shemeji?
Mmh!! Sidhani kama wanaume wana roho nzuri kwann wanakuwa wagumu kwa MASELA wenzao??!!
Kwa kifupi si vizuri kutoa lifti, kwa mtu usiemjua awe mwanamke au mwanaume, ni kwa kuhofia usalama tu. Unaweza mpa lift mtu then ajali ikitokea hutaamini kesi itakavyo kutesa. Pia unaweza mpa lift mtu kumbe jambazi, kuna jamaa mmoja alikwenda kuwashusha wenzie home usiku wakitokea kula raha wakiwa njiani walikuta dada anaomba lift wakambeba USIKU WA MANANE, wengine wote walivyoshuka dereva alimuomba huyo dada ahamie siti ya mbele, lakini alikataa na ilikua sanane za usiku, wemekwenda hatua kidogo yule dada alimshuti yule kaka kwa nyuma kichwani. Baada ya hapo alishuka na akaondoka bila kuchukua kitu, mshikaji alikutwa kwa VX yake amekufa. Kwa hiyo wasio toa lift hawana roho mbaya wengine wanafanya kwa nia nzuri tu na kuepa matatizo.