Kwann uzi wa ufisadi wa Malinzi umefutwa humu??

Kwann uzi wa ufisadi wa Malinzi umefutwa humu??

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Kwa heshima kubwa naomba kujua kufutwa kwa uzi ulionesha ufisadi wa Malinzi humu!!
 
Kumbe hata Malinzi nae fisadi na sio Lowassa tena??bora mmeufuta tuu sababu hauna maana yoyote ile zaidi ya majungu na kuchafuana.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kumbe hata Malinzi nae fisadi na sio Lowassa tena??bora mmeufuta tuu sababu hauna maana yoyote ile zaidi ya majungu na kuchafuana.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Majungu gani wakati alieandika kasema kama ni uongo malizi aje akanushe humu!!!!

Wahusika walitakiwa watuletee malizi sio kufuta
 
Back
Top Bottom