Kwann wanaume wengi huwa hivi?

Kwann wanaume wengi huwa hivi?

samanya

Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
48
Reaction score
6
Habari zenu wanaJf.
Naomba mnisaidie,hivi kwanini asillimia kubwa ya wanaume kwenye mahusiano ya kimapenzi wanapenda kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?
 
ni kweli uyasemayo.ila wako wanawake wengine nao wana zaidi ya mwanamme mmoja.kuna special wa vocha,na kuna mtu mzima pedeshee.huyo special wa kulipia kodi ya nyumba.na kuna mwengine wa kujionyesha kwa watu.ila kwa kweli huo mtindo sio mzuri.kwa mwanamke au mwanaume.kama mwanaume umemchoka uliekuwa achia ngazi uwe na wako mmoja.na mwanamke jitume kwa bidii usiishi kwa kutegemea mabwana
 
kisukari umesharudi toka loliondo au?
 
kwa sababu product tunayotafuta inapatikana sehemu nyingi! Kwa hiyo ni lazima tukajaribu na hizo sehemu nyingine!!
 
My dear hilo swali ni ngumu sana
Mie na dhani ni urithi
toka enzi hizo za mababu zetu
tofauti ni kwamba enzi zile walikuwa
wako wazi na hakuna magonjwa

Na dhani wanajaribu magari kabla hawakununua..
tatizo ni kwamba yakoo za aina nyingi
na wanataka kujaribu za aina mbali mbali..
Wengine ni tamaa tu..
Sababu tayari wanayo
 
heheheheh afrodenzi....eti umewaitaje...magari???
My dear hilo swali ni ngumu sana
Mie na dhani ni urithi
toka enzi hizo za mababu zetu
tofauti ni kwamba enzi zile walikuwa
wako wazi na hakuna magonjwa

Na dhani wanajaribu magari kabla hawakununua..
tatizo ni kwamba yakoo za aina nyingi
na wanataka kujaribu za aina mbali mbali..
Wengine ni tamaa tu..
Sababu tayari wanayo
 
Habari zenu wanaJf.
Naomba mnisaidie,hivi kwanini asillimia kubwa ya wanaume kwenye mahusiano ya kimapenzi wanapenda kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?

Umejaribu kuyauliza majogoo hapo mtaani kwenu?

Hakuna anayeweza kupingana na kitu nature!
 
mchele m1 mapishi mbali x2

Lakini kabla ya kuwa na mke au mpenz,mwanaume huwa anakuwa na wanawake wengi sana wa kila aina,sasa kwa nn asitulie na mke au mpnz wake wakati ameshaziona za kila aina?
 
Umejaribu kuyauliza majogoo hapo mtaani kwenu?

Hakuna anayeweza kupingana na kitu nature!

Nimewauliza na wakaniambia kuwa hakuna mwanaume anaeweza kukaa na mpnz mmoja.
 
Mmezidi kuwasema wanaume na wanawake wanakuwa na mwanamme mmoja kabla ya ndoa?/

Gender balance aisee acheni kuwaonea wanaume kila siku ha ha ha ha
 
Nimewauliza na wakaniambia kuwa hakuna mwanaume anaeweza kukaa na mpnz mmoja.

Umeonae? Hiyo ndiyo tabia yetu wanaume. Hamna jinsi, mnalazimika kuikubali.

Sawa eh mama?
 
Kwanini niwe na mwanamke mmoja?? Ukiona waliokaa na mmoja wanaogopa ukimwi. Hata hivyo, hatunao wengi ila huwa tunaonja tu hatusahau HOME hata siku moja. Hiyo mwaionaje????
 
Kwanini niwe na mwanamke mmoja?? Ukiona waliokaa na mmoja wanaogopa ukimwi. Hata hivyo, hatunao wengi ila huwa tunaonja tu hatusahau HOME hata siku moja. Hiyo mwaionaje????

Kumbuka Ukimwi hauletwi na kuwa na wamawake wengi, bali kuwa na wanawake wa nje ya ndoa - kuna dini zinazoruhusu wake zaidi ya mmoja.
 
Back
Top Bottom