Kwann watu wanaidharau degree ya Open University?

uko sahihi kabisa, watu wengi wamezoea kumezeshwa tu ndio shida hapo
Fresh from school ndio wanao kidharau kwa sababu hawakijui na mfumo wake ni mgumu kwao na mostly hawana majukumu hivyo kukaaa nyumbani na kusoma ataonekana kafeli hivyo bora aende kukaa class tuuu hivyo basi kama hufahamu kitu usikidharau twachieni chuo chetu kinatufaa sisi hasa tulio kazin
 

Bado hiyo ni degree ya kiwango cha chini kwa ubora. Najua wengi mliojipinda kutetea hapa ni wale mlio na hizo degree!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…