Kwanni Kenya kila mwaka inapata njaa na ukame wakati ina ziwa Victoria na Turkana?

Kwanni Kenya kila mwaka inapata njaa na ukame wakati ina ziwa Victoria na Turkana?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Kwenu Wakenya??

Kenya water bodies Maziwa
1. Lake turkana
2. Lake victoria
3. Laki kisumu
4.
5….Ongoing list on picture below

Bahari
1. Bahari ya hindi

Mito
1. River Tana
2. River athi
3. River kerio
4. River Galana
5. River Turkwel

Najiuliza sana hili swali nakosa jibu Je kuna justification yyte juu ya hili?

IMG_2099.png

IMG_2101.jpg

IMG_2100.jpg

Afu utasikia Kenya is more developed than Tanzania???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii n ignorant au nini

TAGS
[mention]kambarak [/mention][mention]emc2 [/mention] [mention]mwathadan [/mention] [mention]kambalanick [/mention]
 
Attachments

  • IMG_2100.jpg
    IMG_2100.jpg
    108.4 KB · Views: 13
  • IMG_2101.jpg
    IMG_2101.jpg
    113.1 KB · Views: 17
Ni kama ilivyo kwetu watanzania tuna vyanzo kibao vya maji lakini maji ya bombani ni tatizo

Ila kumbuka kilimo ni ardhi sio maziwa na hao wakenya eneo kubwa la ardhi yao halifai kwa kilimo (non arable )
 
Hapa tunazungumzia healdline ya njaa mkuu,,,

Ardhi ya kenya na ya sudani ipi ni arable?? ushasikia sudani ina make headline

Uwepo wa maji unawezesha ufugaji na uvuvi pia achilia mbali kilimo
 
Nazani sera yao ya kumiliki ardhi ndio ina waangusha na kupelekea wachache kumiliki ardhi na kulima kwa ajiri ya biashara kwa kusafirisha nje

Wana lima Pareto
Wana lima chai

Na aina zingine za mazao kwa ajili ya kuongeza kipato nasio kutoa njaa
 
Mkuu hapa we atleast umeongea kitu chenye mashiko [emoji1376][emoji1376]
 
Ndugu zetu wana pambana na kutunisha mfuko ili wawe na uchumi Imara kwa kila familia/kaya na taifa
E9490198-5004-4536-A4BF-4618AF5797C5.jpeg

5574DB5A-F2BE-482C-9BEC-44A8C4CB8D2D.jpeg

594981F5-125C-4C83-93D3-4C4A9A3DC34B.jpeg

Wana lima mpaka Maua, Miti kama kule Iringa, Njombe nk...

Ila huku umlimishe nani maua? Wakati hajui kwa kuyapeleka Au kuuza...
E6F74505-F113-42AE-9C8D-BB525B549619.jpeg
 
Kilimo cha Kenya asilimia kubwa ni kilimo cha biashara kuuza nje ukilinganisha na kwetu bongo tunalima kilimo kwa ajili ya chakula tunauziana ndani kwa ajili ya kujikimu.
 
Na ndio wanaongoza kuuza chakula na matunda nje huko hapo tunapopigwa bao tunabaki kulalamika

Nchi kila mwaka iko kwenye headline kwa janga la njaa unapigwa bao nn??
Tanzania kupata janga la njaa had tushasahau
 
Ndugu zetu wana pambana na kutunisha mfuko ili wawe na uchumi Imara kwa kila familia/kaya na taifa
View attachment 2834627

View attachment 2834634

View attachment 2834637

Wana lima mpaka Maua, Miti kama kule Iringa, Njombe nk...

Ila huku umlimishe nani maua? Wakati hajui kwa kuyapeleka Au kuuza...
View attachment 2834642

Kwa ramani hyo inaonekana Uganda na Kenya ziko almost sawa kwene ardhi inayofaa kilimo cha mahindi lakini bado Kenya haijitoshelezi ki chakula wakati Uganda ipo self sufficient
 
Anzia bongo tu hapa, kuna shule nilisoma huko kagera, IPO kilomita 10 tu kutoka ziwani, lakini haikuwa na maji! Vyoo vya shimo, kuchamba kwa makaratasi!
Aliyeiloga Afrika, halishakufa na hatujui alizikwa wapi!
Lowasa alionesha ujasili maji ya ziwa Victoria yakafika Kahama, kenge waliobski wameshindwa kuyafikisha Tabora, singida,mpaka Dodoma.
 
Lowasa tena
 
Nb: This is my personal opinion No Offense
Kweli umegundua kuwa umeandika upupu.
1. Unaweza kuniambia ni kwa kiasi gani Tanzania tuna neemeka kwenye kilimo kupitia Ziwa Victoria, Tanganyinyika, Rukwa, Nyasa, Eyasi nk??

2. Je kilimo ni maji tu? Hujui kuwa ardhi kubwa ya Kenya ni jangwa?
 
Wasipopata njaa TZ hali inakuwa mbaya sana. Wanunuzi wakuu wa mazao yetu ni wakenya. Kujimwambwfy wakati hujui ku export.
Kwani maisha ni kushiba tu?
Mbona Japan hawalimi ila ndio top 100 most developed contries wamo.
Usiombe wakenya wajitosheleze chakula parachichi, mahindi tutalisha ng'ombe.
Mwaka huu wanapigwa mafuriko, mwakani wapigwe nzige.
 
Back
Top Bottom