Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Japo huu usemi wa "... Kwao kama kwetu". [emoji196][emoji196] wameiga kutoka kwa Mashujaa fc, sio mbaya [emoji23], naona utawafaa sana kukusanya buku 2 za kubet kutoka kwa [emoji196][emoji196] fans wote.
Wametoa sadaka ya Tsh milioni 240 kwa kuingiza mashabiki 48,000 pale kwa Mkapa yaani 5,000 × 48,000 sasa tushikamane nao tubet hizo buku 2 ili [emoji196][emoji196] wapate milioni 240 ×7
Daima mbele nyuma mwiko.