Kwao ni kama kwetu twendeni kwa Madiba

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Japo huu usemi wa "... Kwao kama kwetu". [emoji196][emoji196] wameiga kutoka kwa Mashujaa fc, sio mbaya [emoji23], naona utawafaa sana kukusanya buku 2 za kubet kutoka kwa [emoji196][emoji196] fans wote.

Wametoa sadaka ya Tsh milioni 240 kwa kuingiza mashabiki 48,000 pale kwa Mkapa yaani 5,000 Γ— 48,000 sasa tushikamane nao tubet hizo buku 2 ili [emoji196][emoji196] wapate milioni 240 Γ—7

Daima mbele nyuma mwiko.
 
Lini mtapost nyuzi za timu yenu ya Simba?
Simba hatuitaji sapoti kwa nyuzi zetu Ila sisi tunasapoti nyuzi za 🐸🐸 maana wanahitaji msaada, nimeshatuma buku 2 kuwasapoti 🐸🐸.

Tuma na wewe, "...kwao kama kwetu twendeni kwa Madiba".
 
Simba hatuitaji sapoti kwa nyuzi zetu Ila sisi tunasapoti nyuzi za [emoji196][emoji196] maana wanahitaji msaada, nimeshatuma buku 2 kuwasapoti [emoji196][emoji196].

Tuma na wewe, kwao ni kama kwetu twendeni kwa Madiba.
Kolokhamsa Kungwi toka kijiweni Magomeni Mapipa likijiropokea wazo lililomjia kichwani ghafla ghafla kama ndoto vile [emoji1]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Huwa kipere chako kinakuwasha Sana usipoandika kuhusu yanga.... πŸ˜…πŸ˜…
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…