Kwapa kuuma

Kapime HIV? Nilishawahi isikia hii kuuma kwa kwapa na Sikio.

Wahi angaza mkuu
 
Kapime HIV? Nilishawahi isikia hii kuuma kwa kwapa na Sikio.

Wahi angaza mkuu
Yes huwa kunaendana lakini ni lazima yaume yote na anakua ana hisi kama ni jipu kwa ndani na masikioni ndani kabisa yote kwa pamoja inakua ina ashiria vibaya ila kwa huyu sidhani ila anaweza enda kupima kujiridhisha
 
Sio mtoki? Una kidonda kikubwa popote kwenye Mkono ama mbavu?

Kama huna kidonda nenda hospitali kwa uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…