Kwaresma 2018 Special thread...

Shukran! Natumaini Kwaresma ya mwaka huu imekuweka karibu zaidi na Muumba!
 
Yesu mwema nakuja mbele zako
nakiri makosa yangu ,nmekutenda dhambi eeh bwana naja kwako
Unisamehe.[emoji547][emoji547][emoji547][emoji547]
Wishing you a peaceful good Friday to all catholic faithful.
 
Kristu Pasaka wetu amechinjwa Sadaka.
Aleluya, Aleluya, Aleluya🎶🎶👼👼

Nawatakia Heri ya Pasaka Wakatoliki wote waliopo JamiiForum. 🙏
 
Tumsifu Yesu Kristu....👼
Matumaini wote mmeisherehekea pasaka salama.
Namshukuru mwenyezi Mungu kwa neema zake, Katika maisha yangu meaka huu nimeweza kufunga siku zote arobaini bila tatizo🤗
Mara ya kwanza Ulcers zilikua changamoto kwangu sikua naweza hata kufunga diku moja.

Kwakweli nafurahia kwa hili... Natumaini Mungu akipenda atatufikisha wote katika Kwaresma ya mwaka kesho.
Muwe na wakati mwema, tuifikie pasaka ya 2024👼

Uzi mzuri sana

Shukran! Natumaini Kwaresma ya mwaka huu imekuweka karibu zaidi na Muumba!

Shukrani Vinci

Yesu mwema nakuja mbele zako
nakiri makosa yangu ,nmekutenda dhambi eeh bwana naja kwako
Unisamehe.[emoji547][emoji547][emoji547][emoji547]
Wishing you a peaceful good Friday to all catholic faithful.
 
3days left tufike Kwaresma 2025
 
Kristo alijinyenyekeza, akawa mtii mpaka mauti.
Na mauti ya msaalaba🎶🎶
 
Mkristo Leo utamjua Kwa kumuangalia usoni. Ana alama
 
Natanguliza samahan Kwa nitakae mkwaza, ila mie naomba kuuliza tafadhali,
Katika hii sala ya Maria, anatajwa Maria kama mama wa Mungu, Ina maana yesu ndio Mungu ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…