Kwaresma na Pasaka Special Thread

Ubalikiwe sana uwe unadondosha mara nyingi ukipata mda

Ndo Mambo ambayo tunahitaji kipindi hiki
 
Kamtuma mtume gani?
 
Siku ya Dominika
Tunaendelea na kipindi cha kwaresma

Masomo ya leo
 

Attachments

  • Screenshot_20250309-115239.png
    424.9 KB · Views: 0
Niletee andiko kutoka hata kwenye gazeti ambalo linaonesha MUNGU akimpa Muhammad utume
Quran suratu Alfat hu Aya ya 29.

{ مُّحَمَّدٞ رَّسُولُ ٱللَّهِۚ وَٱلَّذِينَ مَعَهُۥٓ أَشِدَّآءُ عَلَى ٱلۡكُفَّارِ
رُحَمَآءُ بَيۡنَهُمۡۖ تَرَىٰهُمۡ رُكَّعٗا سُجَّدٗا يَبۡتَغُونَ فَضۡلٗا مِّنَ ٱللَّهِ وَرِضۡوَٰنٗاۖ سِيمَاهُمۡ فِي وُجُوهِهِم مِّنۡ أَثَرِ ٱلسُّجُودِۚ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمۡ فِي ٱلتَّوۡرَىٰةِۚ وَمَثَلُهُمۡ فِي ٱلۡإِنجِيلِ كَزَرۡعٍ أَخۡرَجَ شَطۡـَٔهُۥ فَـَٔازَرَهُۥ فَٱسۡتَغۡلَظَ فَٱسۡتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِۦ يُعۡجِبُ ٱلزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ ٱلۡكُفَّارَۗ وَعَدَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ مِنۡهُم مَّغۡفِرَةٗ وَأَجۡرًا عَظِيمَۢا }

Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa".

Suuratul Alfat hu Aya ya
8
"
{ إِنَّآ أَرۡسَلۡنَٰكَ شَٰهِدٗا وَمُبَشِّرٗا وَنَذِيرٗا }

Hakika tumekutuma wewe (Muhammad ) uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji",
 
Nazani anataka Aya ambayo MUNGU anatamka kwa kinywa chake mwenyewe

Kuwa Mimi yeye MUNGU nimekufanya Muhammad uwe mtume wangu

Kama ipo wewe mpe tu kisha achana naye
 
Sala ya BWANA

BABA YETU ULIYE MBINGUN JINA LAKO LITUKUZWE UFALME WAKO UFIKE UTAKALO LIFANYIKE DUNIAN KAMA MBINGU UTUPE LEO MKATE WETU WA KILA SIKU UTASAMEHE DENI ZETU KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WALIO TUKOSEA USITUTIE KATIKA VISHAWISHI LAKINI UTUOPOE MAOVUNI

AMINA
 
Nazani anataka Aya ambayo MUNGU anatamka kwa kinywa chake mwenyewe

Kuwa Mimi yeye MUNGU nimekufanya Muhammad uwe mtume wangu

Kama ipo wewe mpe tu kisha achana naye
Hii inatosha.
Kama Allaah mwenyewe kasema "Muhammad ni mtume wa Allaah" maana yake ni kwamba yeye ndiye kamtuma na kumtuma kwa lugha ya Quran ndiko kumpa utume.

Nyongeza zaidi ni Aya hii hapa toka katika suuratul A s swafu Aya ya 9
Allaah anasema:

{ هُوَ ٱلَّذِيٓ أَرۡسَلَ رَسُولَهُۥ بِٱلۡهُدَىٰ وَدِينِ ٱلۡحَقِّ لِيُظۡهِرَهُۥ عَلَى ٱلدِّينِ كُلِّهِۦ وَلَوۡ كَرِهَ ٱلۡمُشۡرِكُونَ }

Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya haki ili ipate kuzishinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia."
 
Hii inatosha.
Kama Allaah mwenyewe kasema "Muhammad ni mtume wa Allaah" maana yake ni kwamba yeye ndiye kamtuma na kumtuma kwa lugha ya Quran ndiko kumpa utume.
Ni wapi Allah kasema ndo andiko linalohitajika hapa

Yeye hahitaji andiko ambalo wanazungumza wazee wa kiarabu anataka andiko ambalo Allah yeye mwenyewe anazungmza

Lilete hapa
 
Ni wapi Allah kasema ndo andiko linalohitajika hapa

Yeye hahitaji andiko ambalo wanazungumza wazee wa kiarabu anataka andiko ambalo Allah yeye mwenyewe anazungmza

Lilete hapa
Quran , Taurati, Zaburi na Injili yote ni maneno ya Allaah aliyoyateremsha kwa mitume wake Muhammad, Musa , Daudi na Issa kwa nyakati tafauti na maeneo tafauti na siyo maneno ya wazee wa kiarabu kama unavyoandika.
Kusema Quran ni maneno ya wazee wa kiarabu ni hoja ya kipumbavu nami sipo tayari kuendelea kuwaelewesha wapumbavu ambao hawana nia ya kuelewa haki iko wapi!
 
Mussa ni nabii mandiko yapo yanathibitisha hilo(kumbukumbu la torati 18:15-18)
Tunaomba mandiko ambayo Allah anatamka kwa kinywa chake kwamba Muhammad ni mtume wake

Mbona huleti unatuletea mandiko ambayo wazee wa kiarabu wanazungumza wenyewe au hao wazee wa kiarabu ndo akina Allah hao

Usikimbie njoo na mandiko

Lakin kaa ukijua YESU KRISTO anakupenda sana
 
Hao mitume wako unawatoa wapi wewe? Huyo DAUDI ni mtume kuanzia lini

Daudi alikuwa MFALME WA Israel kama nyetanyahu leo hii alivyo waziri mkuu wa Israel (1 samweli 16) hapo MWENYEZI MUNGU anamwinua nabii wake samweli anamwambia nenda katika familia ya yesse nimejipatia MFALME katika familia hiyo ambaye atamrithi MFALME shauri, MFALME huyo ndo daud

Sasa kuanzia lini daud tena Kawa nabii?
 
Kulingana na mafundisho ya Quran ni kwamba Daudi na mwanae Suleymani walikuwa manabii , mitume na pia walikuwa wafalme.
Narudia Daudi na mwanae Suleymani walikuwa manabii , mitume , na wafalme na Allaah alimpa Nabii Daudi kitabu kinachoitwa Zaburi.
Usimlinganishe Nabii , Mtume na mfalme Daudi na nguruwe wa kiyahudi kama Nyetanyau sijui nani vile.
 
Ndo maana nimekwambia wewe unaishi kwenye maneno ya waarabu, wewe huishi kwenye maneno ya MWENYEZI MUNGU Allah

Siku zote Allah huzunguma mwenyewe pasipo kulishwa maneno na mtu, sasa wewe waarabu wamekuzid akili

Nioneshe katika Quran MWENYEZI MUNGU akimpa daudi unabii, nioneshe kwenye Quran MWENYEZI MUNGU akimpa utume Muhammad

Acha kuishi kwenye maneno ya waarabu ishi katika NENO LA MUNGU
 
Mimi pia nikitaka naweza sema hiyo kumbukumbu la torati ni maneno ya wazee wa kifarisayo au wazee wa kiyahudi ili twende sawa au vipi?! Wewe una uwezo gani wa kuthibitisha kuwa biblia ,agano la kale na agano jipya siyo maneno ambayo watu walikaa na kutunga na kudanganya kuwa ni maneno ya Mungu, wewe ulikuwepo wakati biblia inaandikwa au unamjua nani aliandika biblia?! Unaanzaje kuamini kuwa kumbukumbu la torati ni maneno ya Mungu wakati hata humjui alieliandika?! Je unajua kuwa Kuna tafauti ya torati aliyopewa Musa na kumbukumbu la torati lililoandikwa na mafarisayo?!
Hoja ya kusema Quran ni maneno ya wazee wa kiarabu ni hoja ya kipumbavu na nikiamua naweza kukupotezea au nikakutafutia majibu ya kipumbavu yanayoendana na hoja za kipumbavu unazokuja nazo!.
 
Wewe ni mpumbavu sugu na sioni faida ya kujadiliana na mtu kama wewe!
Ikiwa unaendelea kusema Quran ni maneno ya waarabu sina uwezo wa kukusaidia zaidi ya kumuachia Allaah akuongoze ikiwa ataona kuwa wewe ni katika watu wanaofaa kuongozwa au akuachie katika upotevu kama alivyomuacha ibilisi katika upotevu.
 
Sasa sisi katika biblia takatifu tumezuiwa kutukana watu

Tumeagizwa upendo

Mimi sijasema kama Quran ni maneno ya waarabu ila nimekuomba niletee maneno ya MWENYEZI MUNGU juu ya utume wa Muhammad na una bii wa daud

Mbona simple sana

Ila ukitaka kunitukana nitukane tena lakini mimi sitakaa nikutukane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…