Ajibiwe huyu jamaa anahojaPia bwana Beira nimekuuliza , Yesu kulingana na biblia alifunga siku 40 usiku na mchana.
Nyinyi andiko la kufunga mchana na kula usiku mumefundishwa na nani?!
Nasikia ruhusa kula mchana kidogo?K
Kwaresma ni funga ya ibada
Siyo funga ya mashindano ya futari