Kwaresma Njema na Kwaherini kwa Muda

Kwaresma Njema na Kwaherini kwa Muda

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Kwa wale watakaokuwa kwenye mfungo wa Kwaresma wakijitafakari maisha yao na uchaji wao karibu na Mungu nawatakia mfungo mwema. Pia nami niwaage kwa muda nikijitafakari nami, pia nikijiuliza kuhusu mwenendo wa taifa langu Tanzania.

Ila pia nikijiuliza nini itakuwa option number two iwapo Serikali itashindwa kutupatia TUMEHURU ya uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu?

Nadhani jibu litapatikana mfungo huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom