Kwaribu kituo cha msada wa sheria m & lamtane

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
tuna toa misada mbalimbali yakisheria katika vitu vyetu vya kisheria vivyopo na mtwara mjini na kwa hapa Dar es salaam pia tuna patikana katika jengo la EAGR/Furniture center ghorofa ya tatu , chumba na 301 Barabara ya nyerere/mtaa wa Boari .
TUNATOA MSADA WA KISHERIA KWA KESI MBALIMBALI KAMA
makosa ya jinai, ndoa, miradhi, madai yakawaida, mauziano ya nyumba magari ardhi n.k, napiatunatoa huduma yakuwakilishwa mahakamani na tunanda memorandum nakutoa ushauri wakisheria
KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
S.L.P 46423 Dar Es Salaam
Simu 0713602026
0783450400
0712690760
KWA MTWARA ORGANIZATION FOR LEGAL ASSISTANCE
S.L.P 407 Mtwara
Simu (023)23334693 karibu sana kituo chetu kwa
 
Karibu ndugu verifild tutafurahi kuerewesha juu yatatitizo lolote lakisheria nakushauri pia
 
natanguliza shukrani bazi ya watu mbalimbali wameanza kuja nawashahuri watanzania karibuni mpate ushauri wamaswala yakisheria mbalimbali yanao watatiza karibuni sana
 
[h=2]Kwaribu kituo cha msada wa sheria m & lamtane[/h]
Karibu ndugu verifild tutafurahi kuerewesha juu yatatitizo lolote lakisheria nakushauri pia
tuna toa misada mbalimbali yakisheria katika vitu vyetu vya kisheria vivyopo na mtwara mjini na kwa hapa Dar es salaam pia tuna patikana katika jengo la EAGR/Furniture center ghorofa ya tatu , chumba na 301 Barabara ya nyerere/mtaa wa Boari .
TUNATOA MSADA WA KISHERIA KWA KESI MBALIMBALI KAMA
makosa ya jinai, ndoa, miradhi, madai yakawaida, mauziano ya nyumba magari ardhi n.k, napiatunatoa huduma yakuwakilishwa mahakamani na tunanda memorandum nakutoa ushauri wakisheria
KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
S.L.P 46423 Dar Es Salaam
Simu 0713602026
0783450400
0712690760
KWA MTWARA ORGANIZATION FOR LEGAL ASSISTANCE
S.L.P 407 Mtwara
Simu (023)23334693 karibu sana kituo chetu kwa.....???

Mkuu, samahani.... hivi, kweli wewe ni mwanasheria kabisa? Ulisomea shahada ya sheria na kuhitimu? Au labda wewe ni msimamizi wa ofisi tu? Ni hayo tu ndugu yangu, sina lengo la kukukwaza....
 
hahaha, wanasheria hawasomi ligha ya kiswahili mzee, shukuru ameandika hivyo, angeliweza hata kuchanganya na lugha za kilatini hapo si ndo usingeelewa kabisa....however, nafikiri msg ameifikisha kwetu, tumpige sapoti tu.

bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI
 
kaka sizani km kunashahada inatolewa kiswahil yasheria alafu mimi sio mtaramu wakiswahili asant pia mana moja yamchango
 
mirathi, sio "miradhi"

misaada, sio "misada"

tuna patikana
tunapatikana, sio "tuna patikana"

karibu, sio "kwaribu"

napiatunatoa
na pia tunatoa, sio "napiatunatoa"

vilivyopo, sio "vivyopo"

yakuwakilishwa
ya kuwakilishwa, sio "yakuwakilishwa"

tunaandaa, sio "tunanda"

wakisheria
wa kisheria, sio "wakisheria"

KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
Kwa mawasiliano tunapatikana.... sio "Kwa mawasiliano wasiliana nasi...."

Unashindwa kuandika hata nusu ukurasa wa maelezo ya Kiswahili, utakuwa mwanasheria wa nani wewe? Mfumo wa elimu ufumuliwe.
 
Jamaa kajidhalilisha sana yaani kama shule hajaenda. Hapa tu anababaisha namna hii je kwenye fani si itakuwa balaa.
 
tuna toa misada mbalimbali yakisheria katika vitu vyetu vya kisheria vivyopo na mtwara mjini na kwa hapa Dar es salaam pia tuna patikana katika jengo la EAGR/Furniture center ghorofa ya tatu , chumba na 301 Barabara ya nyerere/mtaa wa Boari .
TUNATOA MSADA WA KISHERIA KWA KESI MBALIMBALI KAMA
makosa ya jinai, ndoa, miradhi, madai yakawaida, mauziano ya nyumba magari ardhi n.k, napiatunatoa huduma yakuwakilishwa mahakamani na tunanda memorandum nakutoa ushauri wakisheria
KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
S.L.P 46423 Dar Es Salaam
Simu 0713602026
0783450400
0712690760
KWA MTWARA ORGANIZATION FOR LEGAL ASSISTANCE
S.L.P 407 Mtwara
Simu (023)23334693 karibu sana kituo chetu kwa

Mkuu ninashukuru sana. Ninaomba ujibu hili swali kuthibitisha uanasheria wako ili uvute wateja (clients), ukikaa kimya hutapata wateja kwani tuna hadi Justices of Court of Appeal herein this social network.
Swali: Comment on the effectiveness of the remedies issued by one of the human rights protective organs in Tanzania.

Au jibu hili kwa maana naona unasita, na ni moja ya sifa za competent advocate to think reasonably in a short indefinite time.

Makapi and Jokia, aged 16 and 17 years respectively transported Msufu aged 21 years to Mafaka where they removed Masufu's kidney. The resident court magistrate tried Makapi and Jokia in an open court and acquitted Makapi on ground that his participation was non-violent but convicted Jokia and ordered him to be returned to his region of origin while fining him Tsh 2,000,000 to be paid by Jokia's guardians.
Comment on this judgement (trial).
Advertise you law firm by answering either of the questions.
 
kaka wasiwasi ulishawahi kuleta kesi au unasema kwasababu unajua kusema inaonekana unasoma unataka nikujibu ili ukajibu samahani sito lijibu hilo ndio mana nikaelekeza ofisi zilipo nanamba zasimu zipo karibu sana
 
nikawaida ya watanzania hakuna jipya hapo hata ivyo natanguliza shukrani kwako sio mtaramu wakiswahil ukipata muda pitia vizuri na hii kisha huisaishe kwenye makosa nitashukuru kama utanifanikishia hili
mtaramu wakiswahili nashukuru walio hewa wamelewa halikazarika nawewe pia umelewa ndio mana ukatafsiri ndugu usinge elewa nazani usinge tafsiri
 
Mpaka hapo tumeshaelewa u nani. Asante sana mkuu, kila la kheri.
 
nikawaida ya watanzania hakuna jipya hapo hata ivyo natanguliza shukrani kwako sio mtaramu wakiswahil ukipata muda pitia vizuri na hii kisha huisaishe kwenye makosa nitashukuru kama utanifanikishia hili
mtaramu wakiswahili nashukuru walio hewa wamelewa halikazarika nawewe pia umelewa ndio mana ukatafsiri ndugu usinge elewa nazani usinge tafsiri

Wewe mtanzania gani usiyejua Kiswahili, halafu umetudharau kwa kusema kuwa “ni kawaida ya watanzania hakuna jipya” yaani mtu anafanya kitu cha msingi kulinda lugha ya taifa isiharibiwe na ndio uzalendo wewe unasema hakuna jipya! Tengua kauli tafadhali.
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaa ili sio bunge hakuna tatizo lolote je kukosea kuandika kiswahili nikitu chakaida sana nawala sina chakutengua unazungumzia uzalendo wakulinda lugha isialibiwe watu wanamatatizo kibao watu wanakula rushwa hao ndio inapaswa mkawaelekeze uzalendo nini nasio kukosea kuandika kiswahili mm sio mtaramu wa lugha nazani nimeleweka vizuri nanaomba hieleweke ivyo natanguliza shukrani zangu na maswali yahivi sito jibu tena samahani kwa usumbufu utakao jitokeza
 
Mkuu, samahani.... hivi, kweli wewe ni mwanasheria kabisa? Ulisomea shahada ya sheria na kuhitimu? Au labda wewe ni msimamizi wa ofisi tu? Ni hayo tu ndugu yangu, sina lengo la kukukwaza....

This man is a mediocre... kama mtu anashindwa hata kuandika sentensi ya kiswahili iliyonyooka napata shida kumuamini... ni yangu hayo.
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaa ili sio bunge hakuna tatizo lolote je kukosea kuandika kiswahili nikitu chakaida sana nawala sina chakutengua unazungumzia uzalendo wakulinda lugha isialibiwe watu wanamatatizo kibao watu wanakula rushwa hao ndio inapaswa mkawaelekeze uzalendo nini nasio kukosea kuandika kiswahili mm sio mtaramu wa lugha nazani nimeleweka vizuri nanaomba hieleweke ivyo natanguliza shukrani zangu na maswali yahivi sito jibu tena samahani kwa usumbufu utakao jitokeza

All the best jomba..
 
Back
Top Bottom