Kwasababu Tundu Lissu ameirejesha CHADEMA kwa wananchi, tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei tuibadilishe Jina

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo

Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.

Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.

Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu

Ahsanteni sana 🐼
 
Haya ni mawazo potofu yasiyo na lengo zuri la kuitakia kheri CHADEMA. Kwanza ni ukosefu kusema CHADEMA imerudishwa mikononi mwa wananchi. Ni upuuzi mkubwa! Mbowe ametumikia CDM kwa nguvu zake zote na mali zake zote, nafikiri watu wanaona pengo la Mbowe sasa. Tupo na Lissu mwenyekiti mpya na atatufikisha pahali lakini kumbeza Mbowe itakuwa upuuzi mkubwa.

Kubadilisha jina la CHADEMA ni upuuzi mwengine usio na mantiki yoyote ile, wale wasioitakia mema CHADEMA kama wewe wanaweza kuleta hoja potofu kama hizi.
 
Ila mwagito mada zako ni za kihohehahe sana.

Kumbi ugansile ugimbi?
 
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo

Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya

Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa

Ikumbukwe hata bendera ya awali ya Chadema siyo hii inatotumika Sasa

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu

Ahsanteni sana 🐼
Inadilishe CCM.
 
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo

Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.

Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.

Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu

Ahsanteni sana 🐼
Iitwe chadomo
 
Ni aibu kubwa kwa mdau kama wewe mwenye jina kubwa humu unaposena "kwa sasa chadema kimetoka mikononi mwa mabepari..........."

Ina maana hujui chadema ni chama cha kibepari kiitikadi,kifalsafa,kisera,kiajenda na kimisimamo!

Na hakuna siku wala sekunde chama hiki kutaachana na vitu hivyo.
 
Chadema Hakunaga ubepari tena labda CCM Ndio wamejikita Kwenye ubepari mamboleo yaani uwekezaji 😄
 
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo

Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.

Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.

Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu

Ahsanteni sana 🐼
Tuirudishe kwanza CCM yetu ya Nyerere kwa Wakulima na Wafanyakazi 🙄
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!
 
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo

Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.

Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.

Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu

Ahsanteni sana 🐼
Ha ha ha ha ha

Kwa hiyo CHADEMA kinakuwa ni chama kilichopambana kwa muda mrefu sana kuhimili vishindo vya kubadilishwa jina.... hatimaye yametimia eee?!!
 
Pale Kariakoo baadhi ya "jamaa" walikuwa wanachangishana fedha kila mwezi kwa ajili ya chama chao.....

Ndg.Tundu Lissu anakwenda kuwapoteza hao wote na MICHANGO YAO YA KILA MWEZI.....

Kweli kubadilisha STATUS QUO kuna gharama zake.....
 
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo

Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.

Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.

Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu

Ahsanteni sana 🐼
Umetumwa na nani kwanza?
 
Wewe ni mnafiki, mzandiki na mchawi kabisa. Kaa utulie na CCM yako
 
Back
Top Bottom