johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inadilishe CCM.Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo
Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya
Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa
Ikumbukwe hata bendera ya awali ya Chadema siyo hii inatotumika Sasa
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu
Ahsanteni sana ๐ผ
CCM ilikuwaga TANU na ASP ๐๐ฅInadilishe CCM.
Iitwe chadomoKwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo
Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.
Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.
Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu
Ahsanteni sana ๐ผ
Chadema Hakunaga ubepari tena labda CCM Ndio wamejikita Kwenye ubepari mamboleo yaani uwekezaji ๐Ni aibu kubwa kwa mdau kama wewe mwenye jina kubwa humu unaposena "kwa sasa chadema kimetoka mikononi mwa mabepari..........."
Ina maana hujui chadema ni chama cha kibepari kiitikadi,kifalsafa,kisera,kiajenda na kimisimamo!
Na hakuna siku wala sekunde chama hiki kutaachana na vitu hivyo.
Tuirudishe kwanza CCM yetu ya Nyerere kwa Wakulima na Wafanyakazi ๐Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo
Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.
Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.
Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu
Ahsanteni sana ๐ผ
Wao ndio hawataki awayembelee maana wanaomuona kama mamluki mhuni!Mwenyekiti ameshindwa kutembelea hata muasisi mmoja mpaka leo.
Huyu ava anywe ulansi mdapasogo au mdindifu!Ila mwagito mada zako ni za kihohehahe sana.
Kumbi ugansile ugimbi?
Ha ha ha ha haKwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo
Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.
Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.
Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu
Ahsanteni sana ๐ผ
Process za kuanzisha chama kipya tena kama huu mwaka wa uchaguzi unazijua?Achaneni na Chadema,nendeni mkaanzishe chama chenye jina mnalotaka.
Umetumwa na nani kwanza?Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo
Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya.
Mapendekezo ya Jina Jipya yanakaribishwa Ili tuyashindanishe na hili lililofikiriwa.
Ikumbukwe hata bendera ya awali ya CHADEMA siyo hii inatotumika Sasa.
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lissu
Ahsanteni sana ๐ผ
Wewe ni mnafiki, mzandiki na mchawi kabisa. Kaa utulie na CCM yakoKwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo