KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,705
- 4,217
Aisee
Sasa naelewa kwanini wengi baada ya kutumia Hii App wanaikimbia..Jana nimejipinda kuandika UZi Mreefuu. Usio na Tatizo lolote ila anatokea Mod mmoja anafuta bila sababu za msingi?? Kama haturuhusiwi kutambulisha App humu muweke wazi
Tuachane na hayo
Miezi kadhaa nyuma, niliandika Uzi kuhusu juhudi ya kazi niliyoamua kujipa ya kutengeneza App mbili za kipekee kwa ajili ya dini zote mbili kubwa, Soma Zaidi
www.jamiiforums.com
Biblia Takatifu na Qur-an Tukufu. Hili lilikuwa ni wazo nililolipata ghafla, na nikaamua kulifanyia kazi bila kusita. Hatimaye, kazi hii imekamilika, na napenda kuzitambulisha rasmi App hizi:
Bible Connect
App ya kipekee kwa watumiaji wa Biblia Takatifu. Kupitia Bible Connect, unaweza:
Kusoma Biblia kwa tafsiri tofauti.
Kusikiliza sauti za Biblia.
Kutazama maombi live kutoka makanisa mbalimbali.
Quran Connect
App ya Qur-an Tukufu kwa ajili ya waislamu. Kupitia Quran Connect, unaweza:
Kusoma Qur-an kwa tafsiri mbalimbali.
Kusikiliza usomaji wa Qur-an.
Kutazama ibada za moja kwa moja kutoka Makka na Madina.
Baadhi ya Sifa za App Zote
1. Kusoma, Kusikiliza, na Kutazama Live
Bible Connect: Maombi live kutoka makanisa.
Quran Connect: Ibada live kutoka Makka na Madina.
2. Live TV Stream
3. Kuchat
Unaweza kuanzisha na kushiriki Mada mbalimbali
4. Muonekano Rahisi
App zote zimeundwa kwa muundo maridadi na rahisi kutumia.
Download hapa
1. Bible Connect
Pakua Bible Connect hapa
play.google.com
2. Quran Connect
Pakua Quran Connect hapa
play.google.com
NB: Hii ni kwa watumiaji wa Playstore tu kwasasa.
Nawasilisha
Ahsante
Sasa naelewa kwanini wengi baada ya kutumia Hii App wanaikimbia..Jana nimejipinda kuandika UZi Mreefuu. Usio na Tatizo lolote ila anatokea Mod mmoja anafuta bila sababu za msingi?? Kama haturuhusiwi kutambulisha App humu muweke wazi
Tuachane na hayo
Miezi kadhaa nyuma, niliandika Uzi kuhusu juhudi ya kazi niliyoamua kujipa ya kutengeneza App mbili za kipekee kwa ajili ya dini zote mbili kubwa, Soma Zaidi
Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?
Salaam Wakuu. Katika Hii dunia kila mtu anajambo/Mambo/kazi anayofurahia kufanya.Binafdi ninamambo kadhaa ila hiki nilichokifanya nimejikuta mimi mwenyewe najipiga kifua nasema Hapa nimefanya jambo kubwa linalostahili pongezi Lakini, Je! Nastahili pongezi kwa hiki nilichokifanya? Twende...
Biblia Takatifu na Qur-an Tukufu. Hili lilikuwa ni wazo nililolipata ghafla, na nikaamua kulifanyia kazi bila kusita. Hatimaye, kazi hii imekamilika, na napenda kuzitambulisha rasmi App hizi:
Bible Connect
App ya kipekee kwa watumiaji wa Biblia Takatifu. Kupitia Bible Connect, unaweza:
Kusoma Biblia kwa tafsiri tofauti.
Kusikiliza sauti za Biblia.
Kutazama maombi live kutoka makanisa mbalimbali.
Quran Connect
App ya Qur-an Tukufu kwa ajili ya waislamu. Kupitia Quran Connect, unaweza:
Kusoma Qur-an kwa tafsiri mbalimbali.
Kusikiliza usomaji wa Qur-an.
Kutazama ibada za moja kwa moja kutoka Makka na Madina.
Baadhi ya Sifa za App Zote
1. Kusoma, Kusikiliza, na Kutazama Live
Bible Connect: Maombi live kutoka makanisa.
Quran Connect: Ibada live kutoka Makka na Madina.
2. Live TV Stream
3. Kuchat
Unaweza kuanzisha na kushiriki Mada mbalimbali
4. Muonekano Rahisi
App zote zimeundwa kwa muundo maridadi na rahisi kutumia.
Download hapa
1. Bible Connect
Pakua Bible Connect hapa
Bible Connect - Apps on Google Play
Bible Connect: Read, listen, and watch live worship. Join the community.
2. Quran Connect
Pakua Quran Connect hapa
Quran Connect - Apps on Google Play
Read, learn, and listen to the Quran. Connect with Muslims worldwide.
NB: Hii ni kwa watumiaji wa Playstore tu kwasasa.
Nawasilisha
Ahsante