kwasasa ulimwengu una hali mbaya sana kwaiyo usimuamini mtu yeyote yule

camp konzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
581
Reaction score
1,122
kuna ambae anajitaidi sana kukusogeza karibu yake ili badae akutoe kafara kwa ajiri ya kuendelea kurinda mafanikio yake. kwaiyo kama endapo utakua aupo makini sio mda mrefu sana unakwenda na maji

kuna ambae anajitaidi sana kukusogeza karibu yake ili apate mgongo wako kwa sababu ulinzi wako umekua ni zaifu sana na kwake yeye mgongo wako ni kiburudisho kimoja kizuri sana. kama endapo utakua auna umakini basi sio mda mrefu utaliwa tu

kuna ambae anajitaidi sana kukutumia wewe kama ngazi kwa ajiri ya kufikia malengo yake ya kimafanikio kwakua ni tayari ameshagundua uzaifu wako uko wapi ujinga wako na upumbavu. kwaiyo kama utakua aupo makini utaendelea kutumika sana
 
Naomba Mungu anipe watu sahihi Kila siku
 
Huwezi kuwa mtu sahihi alafu upate watu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…